Ushauri kwa vijana wa kiume ambao hawajaoa

Am For Real

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
336
Reaction score
817
Huu ni ukweli mchungu

1) WATAFUTE KWANZA KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAO

Ni vema sana ndoa ikakukuta ukiwa tayari umeshaujua kusudi la MUNGU kwenye maisha yako maana itakusaidia kumpata mwanamke atakayekubali maono yako na atakayekuwa tayari kuendana na kile ulichokibeba kwa ajili ya kusudi la MUNGU

2) WAPAMBANE KUJIJENGA KIUCHUMI

Kama kijana wa kiume pambana sana kujijenga kiuchumi kabla ya kuingia kwenye ndoa.. Usiharakishe ndoa kabla hujajijenga maana baadaye itakuletea matatizo.. Achana na starehe na ufujaji wa fedha bali anza kuweka akiba na kufanya malengo yako kabla ya kuwa na majukumu ya kifamilia (NDOA NA WATOTO)

3) KABLA YA KUOA WACHUNGUZE KWANZA MAISHA YA NYUMA YA MWANAMKE WANAYETAKA KUMUOA (BACKGROUND)

Usidanganyike na maneno ya siku hizi ya kupooza mambo ili kuficha ukweli.. Ata mtumishi wa MUNGU yeyote asikushawishi wala kukupa maneno matamu tu kwa kusema eti kashaokoka kawa kiumbe kipya ili tu uoe bali CHUNGUZA MZEE maana wao watakushawishi ila mchezo utaenda kuucheza mwenyewe na wakati huo hakuna atakayekusaidia na ukirudi kwao watakuambia ALICHOKIUNGANISHA MUNGU SISI HATUWEZI KUKUKITENGANISHA.. Sasa ujiulize MUNGU anawezaje kukukuunganisha na mchawi au kahaba?.. Sio kila mtumishi ana maono na haya mambo.. Chunguza kijana wala usipuuze tabia za mwanamke za nyuma.. Kama alikuwa Malaya huko zamani tambua hilo ni doa TAKE HER AT YOUR OWN RISK..

4) WASIOE BILA KUCHUNGUZA FAMILIA WANAOENDA KUOA

Kumbuka unapooa yule unayemuoa huja na ya nyumbani kwao.. Ukioa mwanamke mchawi au ambaye kwao kuna uchawi tambua unakaribisha roho za kichawi kwenye nyumba yako.. Kama familia yao ina laana tambua ni unajiungamanisha na laana za familia yao...Kumbuka sio kila kabila litakufaa kuoa na sio kila ukoo utakufa kuoa na sio kila familia itakufaa kuoa.. Kuna makabila au koo au familia zingine hazitakufaa kabisa maana tamaduni zao na mila zao na miungu yao haitakuacha salama.. TUSIWAONE WAZEE WETU WALIOTUTANGULIA KUWA WALIKUWA WAPUMBAVU MAANA WALIWANYOOSHEA KIDOLE WATOTO WAO WA KIUME FAMILIA ZA KWENDA KUOA..

5) WASIOE WANAWAKE WENYE WATOTO

Wewe ni kijana huna mtoto basi oa mwanamke aliye kama wewe ambaye hana Mtoto ili muanze familia mpya isiyo na maswali yasiyokuwa na majibu na wasiwasi mwingi..Kuna dhana nyingi ambazo ulimwengu unawatetea wanawake wenye watoto lakini tafiti zinaonyesha wanawake wengi ambao tayari wana watoto (single mother) huwa hawana upendo wa kweli bali hukubali kuolewa kama kupata msaada tu wa kulelewa watoto wao ila baadaye wanapokuja kujitafuta na kujipata au pale wanaume waliozaa nao wakijirudi husahau mema yote uliyowatendea...

Amini hivi MUME HALALI WA MWANAMKE MWENYE MTOTO NI YULE ALIYEMZALISHA WA KWANZA.. Epuka mserereko.. Epuka kukubali wanawake wakutumie wakati wana shida zao na mapito yao tu bali kuwa na msimamo na standard za maisha.. Ukioa mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kuoa mke wa mtu.. Hasa kama aliyezaa naye bado yupo hai nakuambia ipo siku utalia na kusaga meno..

Sikia kama na wewe una mtoto OA MWANAMKE MWENYE MTOTO kama unaona anakufa baada ya kujiridhisha ila kama huna mtoto na unajua huyo mwanamke aliyezaa naye yupo basi USIOE NDUGU YANGU au WAWEZA KUOA ILA KWA KUJIHATARISHIA USALAMA WAKO MWENYEWE.. Kazi kwako kuchagua..

6) WASIOE WANAWAKE WASIOJISITIRI NA WASIOKUBALI MUONEKANO WAO WA ASILI

Utakuwa mpumbavu kama unaona mwanamke anavaa nguo fupi alafu bado ukamfanya mke... Utakuwa ni mwanaume mpumbavu kama unaona kabisa mwanamke kajichora tattoo mwili mzima alafu ukamfanya mke.. Utakuwa ni mwanaume mpumbavu kama utamuona mwanamke anajiuza na unajua kabisa alishakuwa na fulani na fulani alafu bado wewe ukamfanya mke.. Utakuwa ni mwanaume mpumbavu kama unamuona mwanamke hajiamini wala hajikubali anajichubua na kujipamba kupita kiasi alafu wewe ukamfanya mke.. Sikia huko sio kupenda bali ni KULOGWA..Yani pamoja na RED FLAG zote hizo bado unasema MOYO WANGU UMEMPENDA.. Sikia umelogwa wewe..

6) WASIOE MWANAMKE MUONGEAJI SANA (MWENYE MAKELELE) NA MWENYE ITIKADI ZA 50 KWA 50

Mwanamke muongeaji sana na asiye na staha hakufai kijana wangu.. Mwanamke ambaye wewe ukiwa unaongea naye anaongea anakukatisha huyo hakufai atakupasua kichwa kijana wangu.. Wanaume tunahitaji utulivu kijana wangu.. Makalio makubwa na uso wa kuvutia unaweza kutuvutia sisi wanaume tukamtamani mwanamke yeyote yule na Kulala naye siku moja na tukamkinai na kumuona wa kawaida sana ila TABIA YA MWANAMKE NA UTULIVU NA HEKIMA ALIYONAYO NDIO HUTUFANYA TUDUMU NA MWANAMKE.. Hatudumu na mwanamke kisa ana makalio makubwa au ana sura nzuri au anajua sana kufanya tendo la ndoa ila UTULIVU anaokupa ndio utakufanya umpende.. HII NI SIRI WANAWAKE MJIFUNZE PIA..

Mwanamke yeyote anayeamini katika 50 kwa 50 na haki sawa huyo hakufai kijana wangu.. Mwanamke wa aina hiyo atakufanya ujione huna nguvu wala mamlaka katika kiti chako na nafasi yako MUNGU aliyokupa ya kuwa kichwa na kufanya maamuzi.. Mwanamke wa namna hiyo hatakuheshimu na kila mara atajaribu kukaa kwenye kiti chako maana anajiona naye ni kichwa naye anaweza kutafuta naye anaweza kutunza familia naye anaweza kufanya maamuzi bila ata kukushirikisha..

7) WASIOE WANAWAKE WASIO WACHA MUNGU

Kaka ogopa sana mwanamke asiye mcha MUNGU.. Nataka nikuambie hivi MWANAMKE ASIYE MCHA MUNGU HAWEZI KWEPA KUWA CHOMBO KITEULE CHA SHETANI NA ATA FANYIA KAZI SHETANI BARAABARAA IPASAVYO.. Mwanamke asiyependa ibada.. Asiyependa kusikia mambo ya MUNGU.. Asiyependa kuomba huyo muepuke kijana wangu..

Mara nyingi sana wanawake huwavuta wanaume katika imani maana wanawake wana nguvu ya ushawishi sana sasa ogopa mwanamke asiye mtu wa imani ya YESU hakika huyo atakuvuta kwenye shimo.. Ni afadhali mwanamke kupata mwanaume asiye mcha MUNGU kuliko mwanaume kupata mke asiye mcha MUNGU...

Kuna sifa kuu 2 ambazo lazima zitamuandama mwanamke asiye mcha MUNGU na kamwe hawezi kuzikwepa.. Sio sifa nzuri na hakuna mwanaume angependa azisikie sifa hizo kwa mke wake ila ndio ukweli.. Mwanamke asiye mcha MUNGU hawezi kukwepa kuitwa?

- KAHABA

- MCHAWI

ASOMAYE NA AFAHAMU
 
Mkipata race zingine mpo tayari hata kutoa tunu wawaoe ila kwa wamatumbi wenzenu masharti kama waganga. Smh
 
Namba 2,3,5,6 huwa nazisisitiza kila humu sema ndio hivyo wanawake wengi wa jf wameangukia kwenye iyo sample space, na wanaume wengi wana wapenzi ambao wapo kwenye sample space iyo huwa wananipiga vita kali sana.

Kwa kuongezea umesahau kigezo cha bikira. Ingawa inaweza kuingia hapo namba 3 lakini kwa heshima yake ni vyema ingekua na aya yake binafsi. Mwanamke anaejitunza huyu anajua thamani yake na thamani ya mumewe mtarajiwa
 
Namba 4 na 5 zinatosha kabisa kuuweka uzi kwenye rekodi za ushauri bora kwa mwaka 2025. Ila wanawake wasiogope SIMPS never mind
 
Mkuu inaonekan umeandika huu Uzi Kwa hisia Kali sana tumeupokea
 
Back
Top Bottom