shemshashu
Member
- Jan 14, 2017
- 40
- 29
Nina kijana amemaliza form four na kufaulu masomo ya sayansi chemistry c biology c hajafanya physics masomo yote kafaulu kwa kiwango kizuri kasoro mathe f. Je kijana huyu anaweza kusoma course ya labaratory technisial au nursing.