Mkuu ubaguzi kivipi?Vyuo vya degree ni vipi acha ubaguzi vipi akija mwingine akisema hivyo ni vyuo vya masters utasemaje ? Hoja yako haina manufaa mimi binafsi nashauri serikali kuandaa mfumo wanafunzi wapitie Diploma kwa wingi ili hata kipindi wanapomaliza chuo waweze kuwa na ujuzi pia kuingia kwenye soko la ajira kuliko kutegemea form six ambao wakifika level ya kwenda chuo wanakimbia kozi za science au kozi ngumu na kufanya kupoteza rasilimali ambayo ingetumika katika taifa hasa ukizingatia wataalamu ni wachache.
Ishu ni mfumo tu,Mkuu ubaguzi kivipi??
Wewe hujuw vyuo vinavyotoa degree na kuendelea??
siyo isue ya ubaguzi wimbo la watu kukosa vyuo mwaka huu na mwaka jana linaongezeka kwa kasi.
Idadi ya vyuo vinavyotoa elimu ngazi ya cheti na Dplm ni vingi zaidi ukilinganisha na vyuo vikuu.
Lakini hili ni jukwa la mawazo huru na huo pia ni mtazamo,,[emoji122] [emoji122] [emoji122]
I.T nayo hawez kusoma maana inahitaj mtu aliyesoma mathematicsMkuu wewe ni Great Thinker...PCB mtu division two anaenda kusoma IT??..elimu yetu bado sana
Kuna chuo kama Kampala,kama serikali inaona kuna mapungufu,kwa nini wasiyashughulikie ili kusaidia vijana waweze kupata nafasi zaidi ya kusoma kozi za ndoto zao..maana chuo kama hicho kina miundombinu mizuri tu,ni swala la TCU kusimamia ipasavyo ili mapungufu yanayotajwa yashughulikiwe huku serikali kupitia wizara ya elimu wakisaidia hivi vyuo visimame na kutoa elimu bora