Huo ushauri ungewapatia nduguzo utopolo ili wavuke makundi.Uwanja upo Tanzania na Simba ni ya Tanzania.Shida ni nini hapo?Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye matenegezo makubwa au ya Kati.
Hawawezi kutupangia Uwanja wa Mechi!
Hao Berkane wamefanya Uhuni,Yaani Wanajifanya wa Mjini kushirikiana na CAF!
Mechi iletwe kwa Mkapa!
ukifanya hivyo utawapa CAF maamuzi ya kufanya, wanaweza kuipanga mechi ya pili huko huko moroco, au wakaipeleka rwandaNashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye matenegezo makubwa au ya Kati.
Hawawezi kutupangia Uwanja wa Mechi!
Hao Berkane wamefanya Uhuni,Yaani Wanajifanya wa Mjini kushirikiana na CAF!
Mechi iletwe kwa Mkapa!
Unawafumbua macho hao karunguyeye aka utopolo?Unajichosha.Sasa hamtaki kupangiwa uwanja wa mechi mna viwanja vingapi Tanzania unaofaa kwa mechi kubwa za CAF? Uwanja wa Mkapa mliwahadaa CAF walipoukataa kuwa umeshafanyiwa maboresho wakaruhusu mechi ichezwe ila kilichotokea ni aibu ya mwaka, watu kucheza kwenye majaruba ya mpunga. Ile ni kuwakosesha uaminifu hivyo CAF wamechukua tahadhari.
Waliochagua uwanja wa Aman kama uwanja mbadala ni Simba wenyewe walivyocheza dhidi ya Stellenbosch
CAF sio TFF wala bodi ya ligi, msije mkajibiwa mtafute uwanja mwingine. Halafu timu bora inashinda popote.Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye matenegezo makubwa au ya Kati.
Hawawezi kutupangia Uwanja wa Mechi!
Hao Berkane wamefanya Uhuni,Yaani Wanajifanya wa Mjini kushirikiana na CAF!
Mechi iletwe kwa Mkapa!
Hivi kwa nini viongozi wetu wasisusie mchezo kama ile tarehe 8 March! Kwa nini tunakubali kirahisi tu kuonewa na CAF? Na wakati kwenye rank zao tunashika nafasi ya nne?Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye matenegezo makubwa au ya Kati.
Hawawezi kutupangia Uwanja wa Mechi!
Hao Berkane wamefanya Uhuni,Yaani Wanajifanya wa Mjini kushirikiana na CAF!
Mechi iletwe kwa Mkapa!
Yes ni kweli kaka!Sasa hamtaki kupangiwa uwanja wa mechi mna viwanja vingapi Tanzania unaofaa kwa mechi kubwa za CAF? Uwanja wa Mkapa mliwahadaa CAF walipoukataa kuwa umeshafanyiwa maboresho wakaruhusu mechi ichezwe ila kilichotokea ni aibu ya mwaka, watu kucheza kwenye majaruba ya mpunga. Ile ni kuwakosesha uaminifu hivyo CAF wamechukua tahadhari.
Waliochagua uwanja wa Aman kama uwanja mbadala ni Simba wenyewe walivyocheza dhidi ya Stellenbosch
sisi Yanga Tunaumia sanaa sanaa Simba akichukua hili kombe😝Hivi kwa nini viongozi wetu wasisusie mchezo kama ile tarehe 8 March! Kwa nini tunakubali kirahisi tu kuonewa na CAF? Na wakati kwenye rank zao tunashika nafasi ya nne?
Kwani awali hawakuja kukagua maboresho na wakaruhusu lakini mvua ikatoa majibu kuwa hakukuwa na maboresho ya maana. Walichogundua kuwa shida ni mvua itakaponyesha sio muonekano wa uwanja.Yes ni kweli kaka!
Simba wajipange na Amaan zanzibar Au Wawataarifu CAF kuafanya Ukaguzi Kwa Mkapa Sababu baada ya Marekebisho je CAF wamekua Kujiridhisha kama Uwanja Umekidhi????
Ni Lazima Simba Wahoji hili!
Isiwe tuu Kwa Kuwa Mechi ya Kwanza uwanja Uliharibika then…Si Matengenezo yamefanyika watule report CAF na Kama CAF watapenda kujiridhisha waje waangalie!
watafanyaje maamuzi bila Kujiridhisha? basi kusingekuwa na Umuhimu wa Kufanya Marekebisho!???