Hivi inakuwaje mtu mzima kabisa mwenye majukumu unakwenda kupiga picha na lisanamu? tena unakuta wengine wamenyoosha mkono kama wanalishika, ujinga huo siwezi kuufanya. Binaadamu tunatofautiana sana
Mkuu hili tatizo la vivuko ni viongozi na wasomi wetu uchwara na kufanya kazi kwa mazoea mtu akifanya vizuri anapigiwa zengwe mpaka anatoka ili wafanye yao
[QUnOTE="kitimotojikoni, post: 28518792, member: 508729"]Poa, mkuu kazi ipo kwetu home, mana mapungufu bado ni mengi haswa kwa watumishi wetu,[/QUOTE]
Ndiyo Tanzania yetu hii tunaishi kwa neema tu