kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,916
- 7,164
Habarini wakuu,
Napenda kutoa ushauri wangu kwa hii serilikali ya awamu ya tano kuhusu uendeshaji wa miradi mikubwa hasa ya ujenzi ambayo iko International level. Kwa uzoefu nilioupata baada ya kufanya kazi na makampuni mbalilmbali ya ulaya na china,korea,japan nimejiridhisha kwamba makampuni kutoka ulaya mengi yao yananufaisha sana wazawa, Yamekua yakitoa mikataba mizuri ya ajira, malipo kulingana na kazi (overtime unalipwa according to our law), makampuni mengi ya wazawa yamekua yakipewa kazi za sub - contract ambazo zinalipa vizuri na sio wababaishaji kwenye malipo ili mradi uwe umefanya kazi. Pia maeneo ya mradi yanakua kiuchumi sana ukizingatia wazungu wengi wanapenda kujiachia, namanisha kukaa kwenye nyumba nzuri za wazawa na kulipa kodi kubwa na fursa kedekede. Makampuni mengi ya kichina yamekua yakinyonyaji sana na wana aim high profit wanapokuja kufanya kazi kwenye nchi yetu, unakuta wanakuja kufanya mradi wa billions of money afu wanakula bundi na mbwa vitu ambavyo hakuna mtanzania anaweza kufanya hiyo biashara, ata mboga za majani badala ya kununua sokoni wao wanalima wenyewe kwenye macamp, hii inabana sana fursa za wakazi wa maeneo jirani na mradi.
NAWASILISHA, KARIBUNI KWA MICHANGO ZAIDI.