Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,544
Nashauri ni wakati muafaka sasa kwa serikali kuingia ubia na fastjet/kununua hisa fasjet(whatever) ili kama nchi tuweze kuingia tena kwenye hii biashara.kwa sasa kampuni hii haikamatiki,hata kama tutairudisha barabari atcl kwa nguvu zote bado itakuwa ngumu sana kupambana na hawa mabwana kibiashara.ni bora kuungana nao