Ushauri kwa Serikali: Kila anayetumia simu alipe 10,000 kwa mwaka

Pengine wewe unaona hiyo 10,000 ni pesa ndogo kwako kaa ujue kuna watu hiyo hela hata kwa mwezi hawana uwezo wa kuipata, na sijui kama hata umewafikiria ndugu walioko kijijini. Saa nyingine ni bora kuwaza mara mbili hutapoteza kitu kuliko kufanya kitu kwa hisia
 
TUANZE KULIPIA NA OXYGEN JAMANI... haiwezekani watu wavute hewa ya bure kama sio Kuliingiza taifa hasara ni nini??? Ahaa mamaeee jiwee kaishiwa mbinu walahiiii yani mpaka Wauza mchicha wanapata tabu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom