Ushauri kwa rais mtarajiwa edo

Ushauri kwa rais mtarajiwa edo

Joined
Aug 23, 2015
Posts
89
Reaction score
43
Tumesikia kuwa unalengo la kuitisha mikutano ya hadhara kwa ajili ya kushukuru wapiga kura. Hilo jambo jema na linaonyesha ulivokomaa na ustaarabu wa siasa
ushauri wangu kwako kwa sasa ungesubiri kidogo mgogoro wa zanzibar utulie ili watu wenye nia mbaya wasije wakatumia huo mwanya kulipua moto ulofunikwa kwa majani makavu
 
Back
Top Bottom