Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,567
Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini 🤔😡? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono😡! RIEP our hero 💔 Dr. JPM, our lovely president🙏!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uandishi na mawazo vinaendana kabisa, mkuu. Hongera sana.
Unafikili kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ng'ombe ??Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini [emoji848][emoji35]? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono[emoji35]!
Exactly, mengine yanarekebishika tu, Bora sasa tuna amani za nafsi kuliko enzi za yule chiziAs long asipige watu risasi wala kuteka watu..
The rest yanavumilika
Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini [emoji848][emoji35]? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono[emoji35]! RIEP our hero [emoji174] Dr. JPM, our lovely president[emoji120]!
hiyo kaur chamtoto em jarbu siku kuingia ktk Jamuhuri ya twitter na viunga vyake, ukasome post za akina kigogo,,asee kule n hatar matus matus,hawajar nan wala nan kasema,,hao viongoz wanatukanwa kama watotyo[emoji41][emoji41]Unaweza kuwa umeongea point lakin sasa hukupaswa kutumia lugha hii kwa kiongoz wako
Duh! Kweli hii kibokohiyo kaur chamtoto em jarbu siku kuingia ktk Jamuhuri ya twitter na viunga vyake, ukasome post za akina kigogo,,asee kule n hatar matus matus,hawajar nan wala nan kasema,,hao viongoz wanatukanwa kama watotyo[emoji41][emoji41]View attachment 1812918
Jpm ni mbeba,maono!?? Utachekwa hata na kuku??Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini [emoji848][emoji35]? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono[emoji35]! RIEP our hero [emoji174] Dr. JPM, our lovely president[emoji120]!
Kigogo ni zaidi ya Tiiiiiiiii biiiiiii siiiiiiiiiiHuyu njemba (kigogo) inasemekana kwamba hana uwezo tena wa kuzipata nyeti za sirikali,utawala mpya umebadilisha VPN zote,wamemdhibiti kisawasawa sasa hivi anaishia kutoka lawama ambazo haina kichwa wala miguu,nakumbuka usemi wa kiingereza unaosema "you can't be a hero all the time"
Wanaohatarisha usalama wa Marekani wanatekwa sana na CIA na wengine kupigwa risasi.As long asipige watu risasi wala kuteka watu..
The rest yanavumilika