Amuepuka huyo.
Utajihusisha vipi kimapenzi na mtu ambae humfahamu familia yao wala anapoishi?!
Haya wameshafahamiana tayari kwanini anamkwepa kumuonesha kwake au kwa familia yake?
Awe makini atakimbiwa rafikiyo
Haaaa na huu ushauri umetoa wapi kama si dokta, au unamtania?
Anadai kwamba ana kazi nzuri na ana uwezo ww kumlea yeye na mtoto
mtetezi wa masingle mom ... Hapo tu ndipo panaponifanya nikutafute usiku na mchana.
Ila ilibidi mwanaume aeleze sababu za kutaka mtoto..
Kushindwa kukubaliana kwa hilo jambo linaweza kuvunja uhusiano huwez jua kwann jamaa anahitaji mtoto
nikinywa maji mengi sana nakojoa mara kwa mara
Pole kwa kichwa, umekunywa dawa? Jua kali sana ndomana....
how have you been?