Ushauri kwa rafiki yangu

Ushauri kwa rafiki yangu

Ntampa ushauri wenu, asanteni sana!
 
kumbe anajali anatembea na condom?huyo anafanya makusudi tu,sasa cha msingi huyo dada awe anamsaidia kuweka condom nyingine kwenye bag kila anapoondoka amuwekee kimya kimya tena kwa usiri mkubwa,kila siku ahakikishe hazikosekani, asimuulize hata siku moja.akimuuliza watagombana, ye aweke kimya kimya ipo siku mumewe atajua kuwa mkewe ndo anamuwekea hivyo itafika kipindi dhamira itamsuta atabadilika kimya kimya,hakuna kitu kibaya kama kumfanyia mtu ubaya halafu ukitegemea atakuuliza lakini ye akuulizi anakaa kimya na hali ukweli anaujua ni mbaya sana hiyo kisaikolojia hasa kwa mtendaNi adhabu tosha.
Hii imekaa vizuri sana...vp na yeye bibie akibeba kwenye kibeti chake itakuwaje?
 
Hayo ndiyo mashindano yasiyotakiwa! Anabeba ili amuaminishe mume wake kwamba naye si muaminifu au anaenda kutumia?
Chukua ushauri wa kujenga na si kubomoa ndoa ya mwenzio!
Unategemea mme wake akiona ndiyo ataacha kuchepuka? au mgogoro ndiyo utazidi?
Mwanaume ni rahisi sana kuvunja ndoa yake haswa kwenye suala la mke kukosa uaminifu! Hasara kubwa ni kwa mwanamke trust me!
Kwahiyo mwanamke ni kuwa mpole kama huwa na mjanja kama nyoka!
 
Yeye kasema ameshamchoka jamaa, yuko radhi abaki mwenyewe na wanawe maana ndo bado wanasoma! so ameshukuru sana kwa advice zenu kuchanganya naza kwake kwa kumuekea jamaa kondom na kuzitoboa ili akienda nje apate maradhi. Na yeye atasitisha hilo tendo kwa kipindi hichi...anachohitaji ni mali zake tuu. Shughuliiii:A S-eek:
 
Tena ukileta wivu wa kupitiliza na kumfuatilia sana mwanaume utapatwa heart attack! Zaa lea watoto wako na ujenge familia!
Akili yako i base kwenye kuwekeza na kuwa na miradi binafsi wakati waume zenu wanavuavua chupi ujanani! Finally uzeeni! Trust me!

hebu muambie huyo
eti amchachambue hizo akili matope
enhee ukishamaliza kumchachambua mwenzio anampa mahaba mahabani
nna wasiwasi na huyo dada ukute yeye ndio shida mpaka anamrekodi mmewe halafu iweje?
we kalia kurekodi na kuchambua km karanga watu wanasaga na kukoboa
 
Yeye kasema ameshamchoka jamaa, yuko radhi abaki mwenyewe na wanawe maana ndo bado wanasoma! so ameshukuru sana kwa advice zenu kuchanganya naza kwake kwa kumuekea jamaa kondom na kuzitoboa ili akienda nje apate maradhi. Na yeye atasitisha hilo tendo kwa kipindi hichi...anachohitaji ni mali zake tuu. Shughuliiii:A S-eek:

We ndo shogaake,rafikiyake anaekutegemea kwa ushauri,? Kala hasara,na akitoboa condom akipapata maradhi akafa mwenye hasara ni nani kama si watoto wake?
 
hebu muambie huyo
eti amchachambue hizo akili matope
enhee ukishamaliza kumchachambua mwenzio anampa mahaba mahabani
nna wasiwasi na huyo dada ukute yeye ndio shida mpaka anamrekodi mmewe halafu iweje?
we kalia kurekodi na kuchambua km karanga watu wanasaga na kukoboa

Nadhani ndugu hujasoma post vizuri...naona unamaoni mazuri ila rudia kusoma vizuri.
 
We ndo shogaake,rafikiyake anaekutegemea kwa ushauri,? Kala hasara,na akitoboa condom akipapata maradhi akafa mwenye hasara ni nani kama si watoto wake?

Yeye kasema anajua ni jinsi gani atamfanya watumie...akilogwa akubali tuu amekwisha! Maana yeye anataka tuu yale majumba, magari, miradi, magorofa n.k. Watoto atawalea tuu baada ya kupata urithi!.
 
Mbona hivi ni vitu vya kawaida kwenye ndoa? Aliyemwambia mwanaume akikuoa atakuwa muaminifu 100% ni nani?
Kwani hasikiagi na kushuhudua nyumba ndogo? Anavoona wanaume wengine wanavyowasaliti wake zao anadhani wako tofauti na wake?
Cha kufanya ni kuvumilia na kumuomba Mungu amlinde mume wake au kutafuta ushahidi wa kutosha kama anachepuka kumuacha, ingawaje hakuna atakayekutana naye asichepuke!
Mabinti mkiolewa mfahamu hilo!

Acha kufoka pumba, usidhani kila mtu kama wewe.
 
Hayo ndiyo mashindano yasiyotakiwa! Anabeba ili amuaminishe mume wake kwamba naye si muaminifu au anaenda kutumia?
Chukua ushauri wa kujenga na si kubomoa ndoa ya mwenzio!
Unategemea mme wake akiona ndiyo ataacha kuchepuka? au mgogoro ndiyo utazidi?
Mwanaume ni rahisi sana kuvunja ndoa yake haswa kwenye suala la mke kukosa uaminifu! Hasara kubwa ni kwa mwanamke trust me!
Kwahiyo mwanamke ni kuwa mpole kama huwa na mjanja kama nyoka!

Hapo sasa umenena kiutu-uzima!
 
Jf inapoteza ubora wake....
Yaani mpaka hili lijadiliwe na ma GREAT THINKER....??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nawashauri mods wawatengee jukwaa la kuchambana..na kusutana

Back
Top Bottom