4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 22
Jamani za leo waugwana,
Kuna shosti wangu kakumbwa na maswaibu! Eti mume anamrekodi na hapo hapo mume anachepuka nje.
Huzuni jamani sasa tumsaidiaje maana kakuta kondomu kwenye begi lake la kazi.
Mbona shughuli.
Hajui aenzeje kumchachambua huyo bwana.