Hiyo ya kukaa after three years ni ya kizamani.Anabidii akae miaka 3 bila kuomba Chuo chochote na ata akipata after 3 years asahau kuhusu mkopo itabidii ajisomeshe
Brother.. jipange.. tu. Kama ulidisco mwaka huu unaaply.... au kama ni mwaka huu. Mwakani una apply. mkopo tu ndio hautapata.Jamani nimeombwa ushauri hapa nikashindwa kujibu , kwamba kwa mwanafunzi aliyedisco na alikuwa sponsored na HESLB, inatakiwa afanyaje ili kuomba upya na kuwa sponsored pia?