Ushauri kwa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe

Ushauri kwa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,190
Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.

Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.

Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.

Nawasilisha.
 
Mkuu hukumuona yuko na maza?Ana hakikisho la kugawiwa wabunge na kula ruzuku
 
Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo. Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.

Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.

Nawasilisha.
Kwenda Chauma hayo ni maagano aliyoingia na ccm, hana jinsi zaidi ya kutekeleza waliomlipa. Hata akienda hawezi kuwa na impact anayodhani anayo.
 
Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo. Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.

Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.

Nawasilisha.
Achana na maisha ya watu mzee wa makamo kuwa mbea sio tabia nzuri .....achana na mbowe ana uhuru wake
 
Chaumma ni kivuli Cha CCM na ashazoea mambo hayo ya kuwa shadow kwa wengine...ni ngumu kuacha hizo pesa...hata ningekuwa Mimi....haya mambo anaweza Lissu tu jamani
 
Lazima bungeni kuwe na wapinzani wa kuigiza na wawe na kiranja nje ya Bunge. Hapo ndipo Mbowe anajichikulia points 3 za bureee.
 
Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.

Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.

Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.

Nawasilisha.
Very good advice
 
Mzee ana tamaa na njaa za kimasikini sana huyo. Hatosheki. Apewe inchi huyo bora tumpe Lipumba.
 
Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.

Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.

Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.

Nawasilisha.
Chama cha demokrasia na maendeleo kisichotaka demokrasia wanayohubiri. Mtu alitumia haki yake ya kidemokrasia kuhama chama vilio na makelele kibao toka CHADEMA. JITAHIDINI KUHESHIMU UTASHI WA KILA MTU ILI MRADI HAWAVUNJI SHERIA.
 
Mbowe kwani yeye hataki heshima? Akihama tutajua kweli kalishwa Asali yenye limbwata!
 
Mbowe ni mbinafsi na anapenda mafekechee(pesa) akipewa pesa ili aharibu chadema baada ya yeye kushindwa uchaguzi hawezi kukataa hiyo hela na ndo anachofanya kwa sasa,

Mbowe atadharaulika sana akienda chauma na hawezi pata uungwaji mkono hata kule kwao, He will be politically dead and buried in politically forgotten grave.
Mbowe can never ever be trusted again in general public and in Active Politics
 
Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.

Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.

Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.

Nawasilisha.
Hii ni hofu. Kwamba Chaumma kitakuwa chama kikuu cha upinzani na hivyo CDM kuzikwa kabisa kabisaa.
Mbowe ana haki kugombea popote (hata CCM ?)
 
Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.

Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.

Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.

Nawasilisha.
Mbowe anguko lake lazima litimie, muacheni wala hakuna shida mbona. Nafikiri kwa maamuzi yake hayo endapo ni kweli basi tutarajie CHADEMA ikiimarika maradufu.
 
Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.

Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.

Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.

Nawasilisha.
Tatizo sasa hivi mshauri wake mkubwa ni Samia
1000046826.jpg
 
Back
Top Bottom