Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Mapendo...., Asalaam Alyekom,...
Uongo zambi, nchi inakabiliwa na baa la njaa kwa kasi ya ajabu sana. Mikoani mvua hakuna,mimea iliyopandwa mashambani imekauka na wananchi wanatumia mabuwa kuwashia moto!
Hapa Tanzania tuna Wizara ya Kilimo, ndani yake kuna wataalamu wa kilimo, umwagiliaji na wengineo wengi.
Hawa wataalam wanaweza kabisa kubadili hali ya chakula hapa nchini kwa kubuni na kusimamia miradi ya umwagiliaji.Nchi kama Misri, Israel n jangwa tupu lakini umwagiliaji umeshamiri sana.
Ni wakati sasa wa kuwatumia wataalam wa umwagiliaji ili watuokoe na baa hili la njaa.Wawezeshwe wafanye kazi kwa uwezo wao, uzalendo wao na ujuzi wao.Watatusaidia hawa watu.
Mfano hapa kwetu Morogoro, kuna ardhi safi, mito kibao.Hata tu Iringa, Katavi, Mbeya umwagiliaji uwekezwe sana ili walishe na mikoa mingine nchini.
Tunaomba utusaidie Mh Rais juu ya swala hili.
asanteni.