Hili kweli naungana na wewe....ni mbunge wangu na ninamwamini sana.....lakini maneno aliyozungumza siku ile ya tukio la bomu.....kamanda ulinikwanza kidogo.....hebu jaribu kuwa mtulivu.......kwenye maswala yanayowahusu waTanzania....naomba kamanda tucheze mziki sawasawa.......kuleta jazba kwenye jazba.....haitusaidii.......tuweke utaifa mbele kwanza.....tuungane kuweka nchi salama.....then tuanze kucheza dizain tunazotaka.....tukishahakikisha nchi ipo salama........
Seconded!
Kumbe ulistukia ishu eeh?Hili kweli naungana na wewe....ni mbunge wangu na ninamwamini sana.....lakini maneno aliyozungumza siku ile ya tukio la bomu.....kamanda ulinikwanza kidogo.....hebu jaribu kuwa mtulivu.......kwenye maswala yanayowahusu waTanzania....naomba kamanda tucheze mziki sawasawa.......kuleta jazba kwenye jazba.....haitusaidii.......tuweke utaifa mbele kwanza.....tuungane kuweka nchi salama.....then tuanze kucheza dizain tunazotaka.....tukishahakikisha nchi ipo salama........
Thirdend
Hell Nooo!Kamanda lema anakosa gani?yaani wewe uamke na mada uchwara na utake tukuunge mkono.plz hatuna muda mchafu sasa jembe ameharibu kipi?sababu huna unazunguka zunguka tuu umeona leo utoke na bifu zidi ya mh lema.ngoja nisifunguke sana naogopa bani ila ukue ebo!
Lema alikirupuka kwa jazba, naona sasa wana jfHili kweli naungana na wewe....ni mbunge wangu na ninamwamini sana.....lakini maneno aliyozungumza siku ile ya tukio la bomu.....kamanda ulinikwanza kidogo.....hebu jaribu kuwa mtulivu.......kwenye maswala yanayowahusu waTanzania....naomba kamanda tucheze mziki sawasawa.......kuleta jazba kwenye jazba.....haitusaidii.......tuweke utaifa mbele kwanza.....tuungane kuweka nchi salama.....then tuanze kucheza dizain tunazotaka.....tukishahakikisha nchi ipo salama........
Katika kipindi cha hivi karibuni naona kamanda lema anaongea mambo akiwa ktk jazba kubwa sana.kutokana na hilo me naona kuna sehemu anakosea kwani wataalam wanasema mtu ukiwa na hasira au furaha sana sio vizuri kutoa maamuzi au matamko yanayohusu jamii mojakwamoja.Ushauri wangu kwake ajari kufikiri kwanza kabla ya kutoa tamko lolote na pia atafute ushauri kabla ya kufanya hivyo pia.Mungu ibariki Tanzania.
MabulangatiKwa mara ya kwanza wana JF wamenena kiustaarabu na kiutanzania zaidi. Nadhani ni vyema hili likaendelea.Napenda kumshauri ndugu yangu SLAVE kuwa wauza ubuyu ndiyo wenye nchi hivyo alivyowataja ni kama amewadharau kama si binadamu wa kawaida au hawafikirii!!!!
Naamini Kamanda Lema akijitathmini vyema atakugundua wapi alikojikwaa maana Bosi wake Mh. Mbowe, pia kadinali Pengo na Shhe Mkuu wa Dar es Salaam wamenena kinyume nae kabisa tena Pengo ameenda mbali kusema haoni udini mahali ambapo hata waliokamatwa wengi ni wakristo, hivyo ni vyema uchunguzi wa kina ukafanyika.
Nikumbushe kuwa haya mambo yanafanywa au watu hutimiza azma yao pale penye mwanya; kwa mfano, kama kuna mwanya wa udini watu wanafanya mambo yao ili tu Arusha ishuke kiutalii utalii uhamie Kenya nani anajua???? Au mtu mwenye uchu wa kuona nchi haitawaliki ili tu Tanzania ionekane si sehemu salama ya watalii au mashirika ya kimataifa kuwepo, au siasa uchwara za hapa nchini au kama za obote za fanya lolote ili ikiwezekana wananchi waichukie serikali uchaguzi uitishwe upya au tufanye mapinduzi.
Mwisho, nashauri tuache kuzungumzia mambo yetu ya usalama hasa ya siri bila kujali mipaka. Hii ni hatari kubwa sana. Na huo ni ushauri wangu kwa Lema maana CHADEMA ikichukua nchi kwa kadiri ya mazungumzo ya Kiwia na wenje pale Mwanza ndiye atakua waziri wa Mambo ya ndani.
Vipi mkuu umemuota Lema nini; umelazimishwa kumsikiliza? Kachukue posho Lumumba sasa hivi wameiona post yako.
Ile ni nyundo yetu,tukiona ina crack ni hekima kuirepea mapema ili iendelee kutusaidia kuvunja miamba hii migumu inayotukera.