....kujiunga na chama chochote ni uhuru wa kidemokrasia so ushauri wako hauna kichwa hasa pale unaposema amekosea kuwa chadema kisha unakandia vijana wote wa chadema,elewa wale ni wanamageuzi hivyo hawaimbi nyimbo za ccm.Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila
Namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo Chadema, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.

Akija CCM, atapata fursa ya kujiendeleza kielimu kama akina Juliana Shonza anayesoma UDOM na Mtela Mwampamba anayesoma pale Kurasini kwenye chuo cha Diplomasia. CHADEMA inadumaza vijana kielimu kwa vile tu mwenyekiti wake hawapendi wasomi
Huko aliko ndiko kulikofanya wewe uone uwezo wake. Kama angelikuwa CCM angeishia kusema "ndioyoooooooooo" hata kwenye hoja za kipuuzi. CCM ndiko walikojaa madokta na maprofesa, lakini huwezi kuwatofautisha wao na akina Lusinde, Jah People mbunge wa Njombe, Profesa maji marefu n.k. Niambe ni uwezo gani wa hoja aliowahi kuuonesha Prof. Magembe, Dr. Shukuru Kawambwa au Prof. Mhongo?Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila
Namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo Chadema, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
Huko aliko ndiko kulikofanya wewe uone uwezo wake. Kama angelikuwa CCM angeishia kusema "ndioyoooooooooo" hata kwenye hoja za kipuuzi. CCM ndiko walikojaa madokta na maprofesa, lakini huwezi kuwatofautisha wao na akina Lusinde, Jah People mbunge wa Njombe, Profesa maji marefu n.k. Niambe ni uwezo gani wa hoja aliowahi kuuonesha Prof. Magembe, Dr. Shukuru Kawambwa au Prof. Mhongo?
ZZK kumbe CCM. kwa taarifa yako ninavyo mfahamu Mnyika hawezi kuwa genge moja na wasaliti hata siku moja ni bora umshauri aende NCCR kama CDM hapamfai
Regardless elimu yake, ni kijana mwenye mtizamo mzuri wa kisiasa na uelewa wa mambo hasa ya kisheria.
Sifungamani na chama chake ila namshauri awe mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ana uwezo wa kusimamia Wizara tofauti na huko aliko anakosa pa kuonyesha uwezo na busara alizo nazo.
Katika vijana wote na viongozi wote waliopo CHADEMA, Mnyika pekee ndiye nayemkubali ila yeye KAKOSEA NJIA KUWA CHADEMA hebu toka huko ungana na kina January Makamba na kina Zitto Zuberi Kabwe mshike funguo za Taifa letu huko uliko wanakuchosha na kukudhoofisha afya na akili bure.
Akiwa CCM hata uwezo wake wa kufikiri utaongezeka, maana huko Chadema analazimishwa kuongea uongo kila kukicha, kutoa matamko na matusi, hayo yote ni dhambi kwa Mungu, upako unapotea.
Akiwa CCM atawaza kizalendo ,atajikita kufanya Tafiti na kushughulikia Maendeleo ya Taifa.
Chadema imemponza mpaka sasa Jimbo la UBUNGO hawamtaki.
....kujiunga na chama chochote ni uhuru wa kidemokrasia so ushauri wako hauna kichwa hasa pale unaposema amekosea kuwa chadema kisha unakandia vijana wote wa chadema,elewa wale ni wanamageuzi hivyo hawaimbi nyimbo za ccm.
Chadema ndio waligungua kipaji chake,wakamlea na kumjengea uzoefu sasa nyie magamba mnakurupuka tu,msione vinaelea vimetengenezwa,na nyie tengenezeni wa kwenu kwanza Mnyika sio zuzu kama Zito
Marehemu Chacha Wangwe alimlaani Mnyika Tokea Akiwa Hai kwani mojawapo wa watu waliokuwa na chuki kubwa na Chacha wangwe alikuwa Mnyika ,sasa laana imemkamata Ubungo mwakani 2015 atabaini laana ya chacha wangwe ilivyofanya kaziAkiwa CCM hata uwezo wake wa kufikiri utaongezeka, maana huko Chadema analazimishwa kuongea uongo kila kukicha, kutoa matamko na matusi, hayo yote ni dhambi kwa Mungu, upako unapotea.