Ushauri kwa mdogo wangu

Achelewe asubiri nini huku 'practically' ameshaoa
au binti wa watu unamchukuliaje?
mdogo wako si keshamgeuza 'mkewe' unofficially?
why asihalalishe now?

Kuoa unamuona anawahi?kushirki ngono ulimuambia kawahi?
 
Kama wamejipanga sawa acha waoane. Ila kama bado,basi watulie kwanza,maana isije kuwa ndoa yao ila matunzo 100% yanatoka kwa wazee na other family members.
 
Boom na hela za field zinamsumbua. July next year atakuja mwenyew humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…