exceptional lady
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 332
- 248
Swali kwa nini ameamua kuoa kwa umri huo?Sasa tukushauri nini?Yeye mwenyewe anachotaka ni nini?
Kwa sababu usikute dogo hahitaji ushauri wowote si tunajipinda hapa kama tunafanya UE wakati yeye walaaaaNa hata tukimshauri kwani yupo humu jukwaani?
YupoNa hata tukimshauri kwani yupo humu jukwaani?
Mwezi wa tisa mkuu anavuta NikoNaona hapo wifi mtarajiwa kinachokusumbua ni
Age diference
Faith difference
N.k
Kaka yako ana umri 20+yrs sheria inamruhusu na hata hivyo hajasema anaoa sasa hivi ispokuwa anapeleka barua kuwahi order mapema maana hawachelewi kujisogeza masharobaro wengine
Yupo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Umesomekakumbeee... sasa angekua anahitaji ushauri angeomba mwenyewee dada wewe relax tafuta sare
Vijana wengi siku hizi sidhani Kama wanafanya hicho unachozungumzia. Huwa wanachukua maamuzi kwa utamu wa papuchi. Nenda MMU uone wanavyolia na kusaga meno kwenye mahusiano/ndoa zao.Ni uamuzi wake ameshafanya upembuzi yakinifu kabla ya kufikia uamuzi huo.
Sasa kama ni utamu wa papuchi kwani hawapati wakiwa kwenye mahusiano?ila nijuavyo mimi vijana wengi wa kiume wanawahi kuoa kutokana na domo zege.Vijana wengi siku hizi sidhani Kama wanafanya hicho unachozungumzia. Huwa wanachukua maamuzi kwa utamu wa papuchi. Nenda MMU uone wanavyolia na kusaga meno kwenye mahusiano/ndoa zao.
Papuchi ya mahusiano na papuchi ya ndoa ni vitu viwili tofauti. Papuchi ya ndoa Vijana wengi wanaamini Kama wanaweza kuicontrol kirahisi kuliko papuchi ya mahusiano. Na ndio maana inafikia hapo au kupelekea mtoto Kama huyo wa Mwaka 95 kukimbilia ndoa katika umri mbichi.Sasa kama ni utamu wa papuchi kwani hawapati wakiwa kwenye mahusiano?ila nijuavyo mimi vijana wengi wa kiume wanawahi kuoa kutokana na domo zege.