Ushauri kwa matokeo haya yangu ya form six

Uongo mbaya jamani,kama lengo lako ni kupata mkopo nakushauri urudie mtihani maana kwa alama hizo hata private kupata itakuwa ni bahati nasibu kama hautakuwa unajilipia mwenyewe!!
 
MSAADA WA MAWAZO.jamani mwenzunu nimerukwa na akili sijui la kufanya maananaona matumaini yangu yamepotetea,nilifanya mtihani wa form six 2011 nikapata iv ya 18 pcm wazazi wakashindwa kunipeleka diploma nikaona nilisiti ili nipate kamataweza kwenda chuo nipate labda mkopo nikalisiti math na phys nimepata math D na phys S.AWLI nilikuwa na phys F chem E math S.JE? WANAJAMII NAWEZA KUAPLAI DEGREE.

Samahani kijana, wewe ni wa jinsia gani?Kwa wanawake COET na SUA wanaprogramme ya pre-entry kwa alama zako za EDS unaqualify kuomba!
 
MSAADA WA MAWAZO.jamani mwenzunu nimerukwa na akili sijui la kufanya maananaona matumaini yangu yamepotetea,nilifanya mtihani wa form six 2011 nikapata iv ya 18 pcm wazazi wakashindwa kunipeleka diploma nikaona nilisiti ili nipate kamataweza kwenda chuo nipate labda mkopo nikalisiti math na phys nimepata math D na phys S.AWLI nilikuwa na phys F chem E math S.JE? WANAJAMII NAWEZA KUAPLAI DEGREE.

Inaonyshesha wazazi wako ni wavumilivu kwahiyo waache waendelee kukuvumilia reseat nina ananisha lisiti somo moja uhakikishe unapiga vzr
 
kwani kushinda JF au FB ndio kupata matokeo mabovu.........? kama unashindwa kumshauri mtu ni bora ukae kimya tu
 
MSAADA WA MAWAZO.jamani mwenzunu nimerukwa na akili sijui la kufanya maananaona matumaini yangu yamepotetea,nilifanya mtihani wa form six 2011 nikapata iv ya 18 pcm wazazi wakashindwa kunipeleka diploma nikaona nilisiti ili nipate kamataweza kwenda chuo nipate labda mkopo nikalisiti math na phys nimepata math D na phys S.AWLI nilikuwa na phys F chem E math S.JE? WANAJAMII NAWEZA KUAPLAI DEGREE.

Umechanganyikiwa nini wakati chuo kikuu unaingia bila taabu mwanangu wewe. Shida inaweza kuwa full mkopo kwani mwaka huu Bodi ya Mikopo wameweka vigezo tofauti kidogo na vya miaka iliyopita. Ninakushauri kabla ya ku-apply chuo, consult this website TCU.GO.TZ ili kuona GUIDELINE yao yenye masharti ya mwaka huu kwa kozi ambazo wao wamezi-grade kuwa ni za lazima kupata mkopo zikiwemo kozi za sayansi education. Mafanikio mema.
 
njoo SAUT MWANZA upige remijo ya miez 3 then utasoma coz unayoitaka sema mkopo ndo unasumbua.

Si kweli. Ushauri wako mwaka huu hautamsaidia kwa sababu kuanzia 2012 TCU wanataka program uliyoitaja iendeshwe kwa mwaka mmoja. Hivyo ili apate mkopo mhusika itabidi aingie SAUT kwa mwaka mmoja kisha mwakani 2013 ndio asajiliwe chuo kikuu. Rejea GUIDELINE ya TCU mwaka 2012. Kama familia ina uwezo ninamshauri aombe chuo ili akikose mkopo basi ahudumiwe na familia. Otherwise kama una point 1.5 nakushauri uombe Diploma ya Education. Mwisho wa kutuma maombi ni 30.05.2012. Soma maelekezo kwenye United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training

sahihisho:
Kumradhi NGARAMBE kwa alama ulizopata ninakushauri u-apply chuo hasa kozi ya education ili upate angalau 50% mkopo.
 
Chuo utapata ila ni vile vya kata kama TEKU, Stemmco n.k

Sure, hii ni kweli vyuo kama smmuco, makumira, eckenford, n.k. Vyuo vya serikali vingi inaweza ikawa kidogo shida kwako. Taabu ya vyuo hivi vya private vina gharama ya juu zaidi kuliko vile vya serikali. Hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa kwenye maisha. Please do what ever you can ili uende chuo mwaka huu maana ajira zinazidi kubana na vyuo vinazidi kufyatua wahitimu. All the best.
 
Kigogo,unajitafutia laana,hiyo sio kauli nzuri kumwambia mtu katka wakati mgumu kama huu alionao. Kumbuka nawe pia unaweza zaa mtoto ambaye kichwani,ni bora hata huyu unayemporomoshea kejeli zako.Shauri yako.

acha gaude apate division 0..lakini haya matoto ya siku hizi kutwa kwenye fesibuku halafu wanashindwa hata kufanya taitresheni na kubalansi ikwesheni...no way aende akalime hiyo ndo kazi ataweza
 
Back
Top Bottom