Ushauri: Kwa matoke haya atapata chuo gani?

Jul 8, 2015
88
38
Kunadogo amemaliza form4 mwaka 2014 alipata 1.4 pass
C=geo
C=kiswahili
C=english
C=bios
D=math
D=literature
E=civics
E=history
Anaomba ushauri wa chuo aende chuo gani ambacho anaweza kusoma hadi degree au afanye nini
 
Vyuo vipo hadi uchafu kama anatka aende hapo hapo mpaka degree aende IFM CBE NIT TIA TUMAINI MZUMBE wote hao wanatoa mpaka degree
Umemjibu vzuri mkuu, hzo sehemu zote anaanza certificate, diploma until Degree but asiwaze kozi zinazohitaj masomo ya sayansi hawezi kupata kwa kuwa hajasoma science
 
Umemjibu vzuri mkuu, hzo sehemu zote anaanza certificate, diploma until Degree but asiwaze kozi zinazohitaj masomo ya sayansi hawezi kupata kwa kuwa hajasoma science
Cha kushangaza ameshindwa kusema anataka kuomba nini yeye anataka kwenda chuo tu sasa hapo inabidi ahamie Accountancy banking and finance computer kwa ifm naona vigezo wameeka uwe na pass4 moja iwe physics chemistry or mathematics kwa computer science and IT Accountancy wanatak 4 tu na cbe pia Accountancy anapata pmoj na BA na marketing naona ana D ya namba kazi kwake tu msomaji
 
Back
Top Bottom