Ushauri kwa mashabiki wa Yanga Kuelekea mechi ya Simba vs Platinum fc

Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
2,283
3,011
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini hapo awali niliitabiria Simba kuweza kumtoa plateau United ya Nigeria. na kutinga inayofuata. Kuelekea mechi ya jumatano, kwa wale wenzangu mashabiki wa Yanga tufanye jambo moja ambalo litasaidia kupunguza machungu endapo Simba itafuzu kwenda hatua ya makundi.

Jambo lenyewe ni hili;. Weka kiasi cha pesa ambacho upo tayari kukipoteza, kisha bet ukimpa Simba ushindi.

Endapo ikitokea Simba imeshinda, basi utakuwa na furaha ya kuwa umeingiza mzigo wako. Ila ikitokea Simba imetoa sare au kufungwa maanake kaaga mashindano hivyo hii ni furaha nyingine tena kwa upande wa pili wa shabiki wa Yanga. Hivyo unaangalia mpira pasipokuwa na presha yeyote kwasababu chochote kitakachotokea ni furaha kwako ikiwa wewe ni mshabiki wa Yanga.

Kama ni shabiki wa Simba hili sikushauri kulifanya maana unaweza pata presha mara mbili.

Pia unawezea pitia uzi wangu wa Utabiri wa mechi ya Plateau vs Simba.

Hii kitu ilinipa hela sana kipindi kile cha kwa mchina Simba vs Al ahly, Simba vs Vita, Simba vs Saura.. nilikula hela kinoma
 
Mimi ni shabiki wa Yanga lakini hapo awali niliitabiria Simba kuweza kumtoa plateau United ya Nigeria. na kutinga inayofuata. Kuelekea mechi ya jumatano, kwa wale wenzangu mashabiki wa Yanga tufanye jambo moja ambalo litasaidia kupunguza machungu endapo Simba itafuzu kwenda hatua ya makundi.

Jambo lenyewe ni hili;. Weka kiasi cha pesa ambacho upo tayari kukipoteza, kisha bet ukimpa Simba ushindi.

Endapo ikitokea Simba imeshinda, basi utakuwa na furaha ya kuwa umeingiza mzigo wako. Ila ikitokea Simba imetoa sare au kufungwa maanake kaaga mashindano hivyo hii ni furaha nyingine tena kwa upande wa pili wa shabiki wa Yanga. Hivyo unaangalia mpira pasipokuwa na presha yeyote kwasababu chochote kitakachotokea ni furaha kwako ikiwa wewe ni mshabiki wa Yanga.

Kama ni shabiki wa Simba hili sikushauri kulifanya maana unaweza pata presha mara mbili.

Pia unawezea pitia uzi wangu wa Utabiri wa mechi ya Plateau vs Simba.

Kima mtabaki kuwa kima tu
20210102_221853.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom