Naomba kwanza niwapongeze viongozi wote wa Manispaa kwa kufanikisha ujenzi wa jengo jipya la ofisi pale Magomeni.
Lakini sijaelewa wametumia vigezo gani kufunga jenereta kandokando ya barabara kuu ya Morogoro, takribani mita 5-10 hivi.
Hii si salama sana kwani ajali za barabarani kwenye barabara kuu si kitu cha kubashiri.
Nashauri jenereta lihamishiwe sehemu nyingine salama kwani ni uwekezaji mkubwa pia kwa ajili ya usalama zaidi.
Asante