Awali nilidhani ushauri huu uende TCRA, lakini nimeamua kuupeleka kwa Makamba Jr kwa sababu
1. Viongozi wa kisiasa wana dhamana ya moja kwa moja kwa sisi Wananchi
2. Nahisi TCRA wana maslahi kwa Star times kutokana na mazingira na baadhi ya taarifa za magazeti
3. Nina imani na utendaji wa Makamba Jr ie Naibu Waziri husika Ushauri:
Serikali ifanye maamuzi rahisi na muafaka kwa kuwataka Multiplex Companies kufanya Local Channels ziwe free, na malipo yafanyike kwa Channels za ziada, za nje na za burudani kama ilivyo kwa TBC ambayo huapatikana bila malipo ukiwa na kingamuzi cha startimes.
Otherwise serikali itafute namna mbadala ya kuongoza watu wake pasipo na means of communication.
haya mambo bado hayajaeleweka!mfano kwenye king'amuzi cha ting,usipolipia hutakuwa na uwezo wa kuona chanel 5!huku tcra wanasema ktk zile chanel tano za bure na eatv imo,na uhuni wa hawa ting ukishalipia unawapigia simu ili wakufungulie huduma tena,wanachokujibu huku tumeisha i activate iko on!wakati huku kwako haionyeshi ki2,ili suala lilikuwa bado tumekurupuka tu kama kawaida yetu.
Hii serikali inaendeshwa na wawekezaji yaani kama mtu binafsiHovyo kabisa na wameikuta serikali legelegeLocal channels have to be in all the vingamuzi ulipe usilipie!