Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Rais Magufuli amekubali kuwapa Kenya Madaktari 500 Ushauri wangu kwa wanaoenda nchini Kenya kuna Masuala ya Kujiuliza.
Je Kenya Ni Nchi yenye Ukosefu wa Madaktari?
Jibu. Hapana Kenya Ina Madaktari wa kutosha Mfarakano wa serikali na madaktari ndo umesababisha mgomo uliodumu takriban siku 100 sasa.
Je Wakenya watatoa meno yao kwa kufurahia Madaktari wa Tanzania kwenda kufanya kazi Nchini kwao?
Jibu: Hapana litawanufaisha wanasiasa hasa wa Jubilee Hili Suala litaleta Chuki sana baina ya watanzania na wakenya hasa watakaoenda kufanya kazi nchini Kenya hivyo mtakua mnajua chuki huleta nini?
Je Kenya ina Usalama?
Jibu: Hapana Nchi hii iko karibu sana na Somalia na imekua ikishambuliwa Mara kwa Mara na Alshaabab na Jeshi lao linaudhaifu mkubwa hata watu walifanya mauaji Westgate hawajakamatwa hadi Leo.
Nawatakia maisha mema mi nafurahia maisha ya Tanzania Sivai Bullet Proofs wala kitu chochote.
KTN Kenya Imeanzisha Poll Pia Kwenye Mitandao Ya kijamii Mingine Wakenya wengi hawataki Madaktari wa Tanzania waende kwani nao wana Madaktari wapo mtaani pamoja na Graduates
WAKENYA HAWAJAFURAHISHWA
Nimeona Tanzania Ina trend Kenya nikamuua nifatilie wana discuss ama Kujadili nini? Aisee inatakiwa waende na Bullet proofs