kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
Thread closedHili jukwaa sio la mahusiano tena bali la masimango wa mabinti na uwanja wa waliotoswa kutoa yao ya moyoni.
Just imagine,wewe mtoa mada una binti ana miaka 18 maharage ya mbeya maji mara moja(akitongozwa hakatai)kisa ndoa au asije kua single maza,utajisikiaje?
Sio kila atongozae ana nia ya dhati wengine wapita njia tu.
Binti akiwakubalia wakamtenda bado mtamuita JAMVI LA WAGENI.
Hili jukwaa sio la mahusiano tena bali la masimango wa mabinti na uwanja wa waliotoswa kutoa yao ya moyoni.
Just imagine,wewe mtoa mada una binti ana miaka 18 maharage ya mbeya maji mara moja(akitongozwa hakatai)kisa ndoa au asije kua single maza,utajisikiaje?
Sio kila atongozae ana nia ya dhati wengine wapita njia tu.
Binti akiwakubalia wakamtenda bado mtamuita JAMVI LA WAGENI.
Rudia kusoma ili uelewe kabla ya kujibu, tatizo umejibu kabla ya kusomaWanawake wana shida....
Kwa hiyo aolewe tuuuu
Ndiyo maana nimesema si kila mwanaume anayekuja kwako umkubalie tu au hapo hujapasoma au umeparuka makusudi?. Shidi kubwa ni wasichana kushindwa kusoma mioyo ya wanaume, kuwa wazito kufanya maamuzi, tamaa na dharau kwa wlio serious. Hii inawafanya washtuke tayari wanaanza kuzeeka halafu utasikia MUME ANAHITAJIKA, SICHAGUI DINI WALA KABILA. Sipendi wawe maharage ya mbeya ila pia wapunguze matusi kwa wanaume, mwanaume hatukanwi akiwa anatongoza maana ni haki yake kufanya hivyo, anastahili kujibiwa vyema tu.
Rudia kusoma ili uelewe kabla ya kujibu, tatizo umejibu kabla ya kusoma
Ukitoswa na kutukanwa kubali tu ukweli kwamba hakutaki, fanya yako mambo. kuwasemea huku kupunguza machungu sio ishu, wanaume wenyewe waoaji wako wapi msiwatishe mabinti wa watu bure Wakati hata uwezo wa kutunza familia na hata hekima ya kawaida Wengine Hamna.
usipaniki,
na hata nikirudia kusoma mara elfu mbili,
bado haiondoi maana kuwa wanawake hawawezi kukubali tu mwanaume eti kwa kuwa ametumia vocha...... au muda na gharama nyingine...kwanza aliomba????
na unapokuwa king'ang'anizi unategemea akukatalie kwa mapambio????ukijibiwa mara 1 au mbili kistaarabu jiongeze, ukiwa king'ang'anizi obvious utatukanwa.......
na ukikataliwa ujue huna sifa stahiki za kuwa nae...au unataka uchunguzwe kwa style gani? na wangapi mchunguzwe?
na ukiwaona huko makanisani ujue wanamlilia Mungu awape mume bora na sio bora mume.... na sehemu sahihi ya kuomba hilo si pengine bali kanisani
mwisho maisha hayana formula, sio lazima kila mtu aoe na sio lazima kila mtu aolewe....... msitake kuwafrustrate wanawake...... na kuolewa sio mwisho wa maisha na sio kuyapatia maisha....
Ulivyomalizia ni kama yule sungura aliyerukia ndizi juu ya mgomba .....nadhani ni kitabu cha hadija na kipini ila kwakweli si vzr kumtukana mwanaume , mimi wengi sana nawajua walikuwa wazuri wakiwa na maziwa yaliyosimama vifuani wakaringa na kuwakebehi wanaume leo kuna mwingine humu kashatoa post kama 2 kuhitaji mume. Najua hawezi kuja juu maana sijamtaja ila atajifahamu sasa hii si njema.
Mkuu uko sahihi wanaohitaji kuelewa wataelewa, wengine ndo hao umerusha jiwe gizaniKumtukana mwanaume anayekutongoza ni sawa na kujilaani, mwambie tu humtaki kwa lugha nzuri. Bahati nzuri mimi nishaoa na Mungu kabariki ndoa yangu maana naishi na mwenzako vzr tu, ila nimependa kuwashauri maana mkiwa kwenye 19-26 mnaringa na kutukana wakaka ila mkifikisha miaka 30+ inaanza kuwa shida
Usipaniki, na hata nikirudia kusoma mara elfu mbili, bado haiondoi maana kuwa wanawake hawawezi kukubali tu mwanaume eti kwa kuwa ametumia vocha...... au muda na gharama nyingine...kwanza aliomba????
na unapokuwa king'ang'anizi unategemea akukatalie kwa mapambio????ukijibiwa mara 1 au mbili kistaarabu jiongeze, ukiwa king'ang'anizi obvious utatukanwa....... na ukikataliwa ujue huna sifa stahiki za kuwa nae...au unataka uchunguzwe kwa style gani? na wangapi mchunguzwe?
na ukiwaona huko makanisani ujue wanamlilia Mungu awape mume bora na sio bora mume.... na sehemu sahihi ya kuomba hilo si pengine bali kanisani
mwisho maisha hayana formula, sio lazima kila mtu aoe na sio lazima kila mtu aolewe....... msitake kuwafrustrate wanawake...... na kuolewa sio mwisho wa maisha na sio kuyapatia maisha....
Mkuu uko sahihi wanaohitaji kuelewa wataelewa, wengine ndo hao umerusha jiwe gizani