Mtu wa Kigamboni
Member
- Jul 24, 2015
- 80
- 38
Napenda kutoa Ushauri kwa Maafisa Tawala wa Mikoa (RAS)
(1) Ni vyema Maafisa Tawala wa Mikoa (RAS) wakafanya kazi kwa karibu sana na wakuu wao wa mikoa kwa kuwashauri.
(2) RAS watumie vilivyo weledi wao katika mambo yanayohusikana na utaratibu za kisheria ama urasimu wa kiserikali (They need to use their expertise/skills on issues that needs legal expertise and government bureaucracy)
Naamini RAS wana ufahamu mkubwa wa masuala ya kiutawala (Public and Corporate Governance) anaweza tumia weledi wa kuwasaidia wakuu wao wa mikoa ambao uteuzi wao ni wa Kisiasa na hauhitaji vigezo vya kielimu.
La sivyo ma-RAS watajikuta matatani kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao. Na Rais hata waonea huruma atawatumbua tu.