Ushauri kwa Lowassa

Ushauri kwa Lowassa

mjinga

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Posts
328
Reaction score
132
Lowasa nakushauri sana uachane mapema na mbio zako za kuutaka uraisi. Sababu kundi kubwa la viongozi wa CCM halikutaki, waliokushauri wamekudanganya.

Jina lako litakatwa mapema kabla ya fainali!! Ukiangalia mpaka sasa hivi umeshatumia hela nyingi sana na mda mwingi sana kwa ajili ya kujisafisha na kujijenga kwa ajili ya kuwania urais.

Kabla mambo yasijekuwa mabaya zaidi, ningekushauri haraka sana ondoa jina lak ktk kugombea uraisi na ukajiunge rasmi chama cha ACT-Wazalendo ambako mda mrefu umealikwa.

Kwa kufanya hivyo utakuwa umetoka na kundi kubwa la wana CCM na kuhamia huko..Na hata kama hutafanikiwa kupata uraisi safari hii lakini safari ijayo huenda ukafanikiwa.

Endapo utang`ang`ania CCM na jina lako lika katwa basi ndoto yako ya kuwa rais itakuwa imezimwa maishani na hata kama utaamia upinzani baada ya kutemwa hautang`ara tena, utakuwa kama akina Mrema!

Usiwafuate hao wapambe njaa akina Kingunge na wengine.

Hao wako kimaslahi zaidi wanataka kula hela zako tuu
 
Nakuhakikishia, hata kila m-ccm angelichukua fomu, LOWASA ni kisiki cha mpingo. Mtajikwaa na kung'oka meno hatoki wala hakatwi. Huyo ndo rais wa ccm. Lowasa ndo ccm na ccm ndo Lowasa. Anayemchukia aondoke ccm amwachie mwenyewe. Hiyo ndo habari ya leo. Hao wanachukua fomu ili wampishe mwenye hicho kiti. Ni wapambe wa biarusi hao, wakiwa wengi harusi hunoga zaidi. Mark ma word
 
Na ameshondwa kujisafisha siku ya kutangaza nia.............Kwa watz wa leo lazima kibao kimgeukie na atajua kuwa pesa sio kila kitu na hii itakuwa fundisho kwa wanacmm wengine ambao wanatuibia alafu baadaye wanafanya pesa waliyotuibia kuwa FIMBO
 
LOWASSA HAKAMATIKI

Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...

Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....

1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357

2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0

3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2

4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4

5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3

6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1

7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1

8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2

9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0

Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........
 
EL akiona anaweza kutuonga na sie tukampa nchi basi ajaribu aone,hata akioshwa kwa theruji katu hawezi kusimama tukamhesabu
 
Unafiki,tu mara akienda ACT awamu ijayo atapata kwanini asibaki ccm akasubiri?kwasasa tutampitisha mtu mwingine amsafishie njia maana mnamsema sana ili awamu ijayo apite kirahisi,
 
Kweli watz wa sasa watakula hela lkn watampigia mtu wanaeona ni bora pasipo kujali anatoka chama ngani,
 
LOWASSA HAKAMATIKI

Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...

Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....

1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357

2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0

3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2

4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4

5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3

6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1

7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1

8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2

9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0

Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........

Ninyi ndio bado mnamdanganya na kula hela za Lowasa…Unafikiri akipona huko NEC CCM atapona huku mitaani??Kumbuka huku mitaani kuna wana CCM wasiompenda ambao wanajua kiasi gani ali play ktk ufisadi na wasio CCM nao wanahasira nae vilevile…lakini kama unataka kula hela za huyo fisadi basi poa tu lakini nakuhakishia Lowasa hapiti
 
Lowasa nakushauri sana uachane mapema na mbio zako za kuutaka uraisi. Sababu kundi kubwa la viongozi wa CCM halikutaki, waliokushauri wamekudanganya.

Jina lako litakatwa mapema kabla ya fainali!! Ukiangalia mpaka sasa hivi umeshatumia hela nyingi sana na mda mwingi sana kwa ajili ya kujisafisha na kujijenga kwa ajili ya kuwania urais.

Kabla mambo yasijekuwa mabaya zaidi, ningekushauri haraka sana ondoa jina lak ktk kugombea uraisi na ukajiunge rasmi chama cha ACT-Wazalendo ambako mda mrefu umealikwa.

Kwa kufanya hivyo utakuwa umetoka na kundi kubwa la wana CCM na kuhamia huko..Na hata kama hutafanikiwa kupata uraisi safari hii lakini safari ijayo huenda ukafanikiwa.

Endapo utang`ang`ania CCM na jina lako lika katwa basi ndoto yako ya kuwa rais itakuwa imezimwa maishani na hata kama utaamia upinzani baada ya kutemwa hautang`ara tena, utakuwa kama akina Mrema!

Usiwafuate hao wapambe njaa akina Kingunge na wengine.

Hao wako kimaslahi zaidi wanataka kula hela zako tuu

Leo nilikuwa saloon moja,Jamaa mmoja anasema team lowasa wote ni watu wa Dili,wapo nae kwaajili ya pesa,kwamba ni wepesi kuhamia kambi nyingine watakapoona kwa lowasa ni pagumu.
 
LOWASSA HAKAMATIKI

Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...

Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....

1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357

2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0

3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2

4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4

5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3

6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1

7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1

8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2

9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0

Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........

Mkuu vipi kuhusu wajumbe wa kamati kuu, walikuwepo wangapi??
 
Nakuhakikishia, hata kila m-ccm angelichukua fomu, LOWASA ni kisiki cha mpingo. Mtajikwaa na kung'oka meno hatoki wala hakatwi. Huyo ndo rais wa ccm. Lowasa ndo ccm na ccm ndo Lowasa. Anayemchukia aondoke ccm amwachie mwenyewe. Hiyo ndo habari ya leo. Hao wanachukua fomu ili wampishe mwenye hicho kiti. Ni wapambe wa biarusi hao, wakiwa wengi harusi hunoga zaidi. Mark ma word

Kaa kimya hii nchi huijui hata kidogo!
 
Mkuu vipi kuhusu wajumbe wa kamati kuu, walikuwepo wangapi??
Kamati kuu hawafanyi maamuzi ya kumteua mgombea kwa tiketi ya chama bali hupendekeza.sasa yanaweza kukubaliwa au yakarudishwa kufanyiwa marekebisho.nepi na jk hawana mamlaka hiyo.
 
Back
Top Bottom