MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Baada ya Matokeo haya ya Igunga nyumbani kwa Menyekiti wa CUF Pro. Ibrahimu Haruna Lipumba kuangukia pua kabiiiisaaaaaa na ambapo Makamu wa Rais wa Zanzibar ni katibu wake mkuu, Ningeshauri sasa waone chama chao kinapoteza mwelekeo kwa kukaa mdarakani muda mrefu sana na hakuna jipya lolote kwa Sasa la kuwekeza kwenye fikra za watanzania ili kuendelea kuongezeka umaarufu wake.
Ushauri wangu wa Bure kwao usio na utashi wa kisiasa ni
1. Wakubali kuungana na CCM waweke sera moja kiutawala kwani haitakuwa na jipya baada ya kuungana Zanzibar.
2.Viongozi woote wakuu wakubali kujivua gamba kama sera za mashoga wao CCM ili kujenga nguvu mpya kwa watanzania.
3.Kukubali fika kuunga mkono chadema kuwa ni chama dume kinacholeta mageuzi kwa watanzania bila kuchafuana kimtizamo na kiimani.
4. MENGINE WADAU ONGEZEENI MAANA NI USHAURI WA BURE.
Zipo ndoa za wake wawili lakini hakuna ndoa ya mabwana wawawili. Kuwa makini juu ya hili.Ni vizuri waungane na walioshindwa wenzao ili wajaribu tena baada ya kuunganisha nguvu.
Zipo ndoa za wake wawili lakini hakuna ndoa ya mabwana wawawili. Kuwa makini juu ya hili.
Umepanic sana kijana, hebu vuta pumzi alafu relax.Wanachama wengi wa CUF mnaandamwa na ugonjwa wa kukosa political tolerance na huu ugonjwa ndani ya CUF muasisi wake ni Mtatiro na matokeo ya ugonjwa huu unaokutesa bwana Mwera ni zile kura 0 mlizozipata kwenye vituo vingi vya uchaguzi Igunga. 2015 CUF inazikwa rasmi.sio bure utakua umechanganyikiwa na matokeo yajana ya huko igunga after magwanda yenu kupigwa goli la kisigino na ccm,nenda kalale upate mapunziko labda utakuja na akili mpya ila sio huu uharo unaoutoa hapa,unaonekana bado una jinamizi la kubwagwa igunga.
Hatutaki mazoea na mke wa mtu, Tena walipigwa ndoa ya mkeka baada ya kufumwa.Ahsante Daudi kwa jibu hili.maana ukweli unaonekana na mtaji wa kura 10000 umepotea igunga ikaenda kwa CCM..Sasa iweje tuoane na wao wakati tayari wapo katika ndoa???
sio bure utakua umechanganyikiwa na matokeo yajana ya huko igunga after magwanda yenu kupigwa goli la kisigino na ccm,nenda kalale upate mapunziko labda utakuja na akili mpya ila sio huu uharo unaoutoa hapa,unaonekana bado una jinamizi la kubwagwa igunga.
Umepanic sana kijana, hebu vuta pumzi alafu relax.Wanachama wengi wa CUF mnaandamwa na ugonjwa wa kukosa political tolerance na huu ugonjwa ndani ya CUF muasisi wake ni Mtatiro na matokeo ya ugonjwa huu unaokutesa bwana Mwera ni zile kura 0 mlizozipata kwenye vituo vingi vya uchaguzi Igunga. 2015 CUF inazikwa rasmi.
Hili jina la Mwera kama ndiye yule wa Tarime aliyefikiri bado anakubalika na kugombea kupitia CUF akaangukia pua vilevile,
No comment kwa Sababu ccm kuna laana ya kufikiri kutumia masaburi na Cuf kuna laana ya kuwa mazezeta wa Kisiasa
Umenivaa kwa hasira sana kama vile wewe ndo Kafumu na mimi ndo Kashindye,Hebu punguza jazba alafu endelea kushangaa kama ulivyosema bwana green guard.Nyie wote bwana yenu ni CCM amewafanya vibaya igunga na ndio mtawala wa nchi . Nashangaa mnaanza kusutana tena !
Good advice take it Mr Seif and Prof. Lipumba join with CCM and go on, prof unaweza ukawa mbunge wa kuteuliwa na hata Naibu waziri basi na mjumbe wa cc wa ccm cuf inafutwa kwa tendwa
Baada ya Matokeo haya ya Igunga nyumbani kwa Menyekiti wa CUF Pro. Ibrahimu Haruna Lipumba kuangukia pua kabiiiisaaaaaa na ambapo Makamu wa Rais wa Zanzibar ni katibu wake mkuu.
Ningeshauri sasa waone chama chao kinapoteza mwelekeo kwa kukaa mdarakani muda mrefu sana na hakuna jipya lolote kwa Sasa la kuwekeza kwenye fikra za watanzania ili kuendelea kuongezeka umaarufu wake.
Ushauri wangu wa Bure kwao usio na utashi wa kisiasa ni;
1. Wakubali kuungana na CCM waweke sera moja kiutawala kwani haitakuwa na jipya baada ya kuungana Zanzibar.
2.Viongozi woote wakuu wakubali kujivua gamba kama sera za mashoga wao CCM ili kujenga nguvu mpya kwa watanzania.
3.Kukubali fika kuunga mkono chadema kuwa ni chama dume kinacholeta mageuzi kwa watanzania bila kuchafuana kimtizamo na kiimani.
4. MENGINE WADAU ONGEZEENI MAANA NI USHAURI WA BURE.
Ahsante Daudi kwa jibu hili.maana ukweli unaonekana na mtaji wa kura 10000 umepotea igunga ikaenda kwa CCM..Sasa iweje tuoane na wao wakati tayari wapo katika ndoa???