Naiona hatari ya ku relax.. Ni bora zichezwe kabla ya hiyo tar 25.Una point ya msingi lakini Nadhani Yanga Ana game mbili mkononi za ligi Kama sijakosea Ila sijui zitakuwa lini
Mechi zimesogezwa mbele kutokana na ombi la polosi Tanzania hivyo mechi ya 14 itachezwa tarehe 15 na bila shaka hata za tarehe 18 zitasogweza siku moja mbele.Tarehe 14 July,2021 na Ihefu
Tarehe 18 July, 2021 na Dodoms Jiji
Tarehe 22, July na CAS
Terehe 25, July na Paka Fc, Tunatangaza ubingwa
Akuna kitu wewe haunifungi tena malambili mfululizo.He he he he tulia, tutawapa kimoja tena kitakuwa dakika 10 za mwanzo, na ni Beki wetu atawafunga mapema tu.
Mbona j5 Yanga vs Ihefu ligi kuuTafteni mechi moja ya fitness ili tarehe 25 tusipoteane..
Wenzetu Simba tangu tucheze wana mechi ya pili leo wakati sisi tumepumzika wiki nzima sasa tunaburudika na kuoga noti za GSM.
Mfikishieni ushauri huu kocha wetu mahiri Nabi.
Ni hayo kwa leo, zingatieni maana naona hatari ya kukata pumzi Mapema.
Teh, nimependa hiyo ya tarehe 22 na CASTarehe 14 July,2021 na Ihefu
Tarehe 18 July, 2021 na Dodoms Jiji
Tarehe 22, July na CAS
Terehe 25, July na Paka Fc, Tunatangaza ubingwa