Hapo ndipo ulipofunga mjadala lakini JK anaamini kuwa NEC itaendelea na mfumo uliopo hadi hapo watanzania watakapoleta machafuko kama yale ya Kenya na hapo ndipo NEC itaundwa upya na kuwa huru na haki..............................hii ndiyo akili finyu ya viongozi uchwara tulionao hapa nchini na ndiyo maana kamwe nchi hii haiwezi kuendelea.tutabaki na umasikini wetu milele............hadi hapo tutakapoanza kuheshimu haki ya wapigakura kujichagulia viongozi wao wenyewe..................................................Angalizo
Ukichakachua matokeo, naamini watanzania watamezea na utaendelea kuwa rais kwa miaka mingine mitano. Lakini kama ukiangalia mbali ya pua , utaona bayana kabisa 2015 hutakuweza kuchakachua matokeo maana kura kwenda kwa upinzani zitakuwa nyingi ambazo hazichakachuliki. Hapo hapo Rais atayeingia atakuwa na MACHUNGU nawe na atakutia ndani na wenda na hiyo pesheni ya URAIS hadi kifo hutopewa.
Natumai nyote mko salama.
Ushauri wangu kama raia mwema kwenda kwako Rais Kikwete, Nakushauri kwa nia njema kabisa , tafadhali jaribu kuangalia mbali kidogo kutoka ktk pua.
Ushauri wenyewe
Tangazeni matokeo kama yalivyo hakuna haja kuyabana bana. Hata kama umeshindwa jaribu kumkabidhi ofsi aliyeshinda kwa amani na tabasamu.Hakika ukifanya hivyo utaishi kwa amani.
Angalizo

ADVANTAGE
Kama umeshindwa na ukikubali kuachia kiungwana, UTAHESHIMIKA, kimataifa utakua mfano wa kuingwa na TANZANIA utaipeleka juu ktk uso wa dunia.
Kama umeshindwa na hutaki maono rahisi kama haya ENDELEA KUCHAKACHUA.
Mkamap:
Kwa uchaguzi wa rais CCM wameshinda. Tena wameshinda kihalali. Matatizo yanayokuja je walioshindwa watakubali matokeo?

Sasa kama wameshinda kwa mbali kwanini wanajiumauma kuweka mambo hadharani?

Wewe ndio unaesema hivyo, na kama anashinda kihalali ni vema tu ila kama anachakachua ili ashinde kwa kishindo ajue kuwa baadae yatajulikana tu na ikitokea kaingia presidaa say wa upinzani mambo yanaweza kumuwia magumu sana hata akajuka kwa nini aliwahi kuwa presidaa
Hii dunia haiko static hata siku moja. Ni bora utende haki kuliko ukajutia maisha yako yote ya uzeeni.
Sasa kama wameshinda kwa mbali kwanini wanajiumauma kuweka mambo hadharani?
Chesty:
Numbers don't lie. Sehemu ambazo CCM wameshinda ubunge, wameshinda pia kiti cha urais.. So why don't you use your own brain.
Mkuu,
Wayatangaze hayo matokeo, maana hata kama ccm imeshinda na kuendelea kuyakalia kunaleta taswira ya ndiyo sivyo. Mbona seif kakubali kiungwana, naamini haki ikitendeka kwa mda muafaka hakuna atakayebisha, lakini, haki ikitendeka kwa mda usio mwafaka watu watabisha.
Namuomba tena Raisa KIKWETE atangaze matokeo ni maombi tu.
Chesty:
Numbers don't lie. Sehemu ambazo CCM wameshinda ubunge, wameshinda pia kiti cha urais.. So why don't you use your own brain.
Uungawana upo pande zote mbili. Hivi kwa kuangalia trend ya matokeo kuna ubaya gani kiongozi wa upinzani concede defeat. Kwani CHADEMA hawaoni matokeo yanavyokuja?
ADVANTAGE
Kama umeshindwa na ukikubali kuachia kiungwana, UTAHESHIMIKA, kimataifa utakua mfano wa kuingwa na TANZANIA utaipeleka juu ktk uso wa dunia.
Kama umeshindwa na hutaki maono rahisi kama haya ENDELEA KUCHAKACHUA.
Matokeo yanakuja mshindi hajatangazwa na referee halafu unakubali kushindwa, are you serious? O yeah you must be very serious. Kumbe tactic ilikuwa tuanze sehemu tulizoshinda ili wakiona waconcede defeat! Hapana kuna majimbo yenye wapiga kura wengi watu wanayasubiria na sio ya Zenji ya watu laki 3.
I am very serious. MaCain conceded kabla kura hawajamaliza kuzihesabu. Na kuhusu majimbo yenye wapiga kura wengi naona unaendeleza ushabiki usio na mpango. Majimbo ya uchaguzi yanapangwa kutokana na idadi ya watu. Hivyo karibu majimbo yote yana idadi ya watu sawa. Kwa mtaji huo ukiangalia trend tu, utajua nani kashinda.