NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Kitugani kinazuia mh mbowe kukamatwa na kuhojia kutokana na swlaa la ben saa 9 ?
Nijuavuo mimi mtu akipatwa na tatizo ya kupotea mtu wa kwanza kuojia ni wazazi wa muhusika na mwajiri wake ndio wa lengwa, hao ili kupata maelezo kamili
Cha kushangaza mbowe bado hajaojia hata siku moja sisi wananchi na vijana tufikie nini juu la swala hili?