Ushauri kwa huyu rafiki yangu

Wengi tuna ushauri kama huo, ila kuutamka kwa sauti siyo zoezi dogo Mkuu.

Atakuwa ameelewa hata hivyo.

Mkuu jikaze tuu uuseme bana tumsaidie huyu dada yetu, we si una roho ngumu? Sawa utaonekana shetani lakini yatapita tuu usiwe na wasiwasi..πŸ˜†πŸ˜†
 
Mkuu jikaze tuu uuseme bana tumsaidie huyu dada yetu, we si una roho ngumu? Sawa utaonekana shetani lakini yatapita tuu usiwe na wasiwasi..πŸ˜†πŸ˜†

Hata Mkuu wa majeshi uliona alivyoamua kutotoa dokezo kwenye hadhara, tutaenda ofisini kumpa hilo dokezo kwa pamoja.
 
Mtihani sana... jamaa kakimbia majukumu...

Binti atahangaika zake... kesho na keshokutwa mtoto naauwezo... kajamaa katajirudisha...
 
Siku zote naamini kua pesa zinatafitwa ila furaha kuipata ndo ngumu katika maisha naamini huyo bidada na huyo mmewe hadi kufikia kufunga ndoa inaonesha wazi walikuwa na mzingi wa maisha.

Note: ushauri wangu ajifungue tuu na arudi kwa mumewe ili walee mtoto na watafute pesa ila akisema aende kwa huyo tajiri ataumia sana na kuteseka mno coz hujui huyo tajiri mali zake kachuma nanani kila kwenye mafanikio ya mwanaume mke yuko nyuma yake.

Naamini mwanaume alie mpa mimba ameenda kupamban na kuandaa mazingira ya kumlea mtoto shida na raha ni sehem ya maisha siku zote usikimbie changamoto angalia njia ya kutatua changamoto hizo asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…