Ushauri kwa huyu ex-wangu

Huyo hakufai coz alionesha kutokuwa na subira toka mwanzo, hatakuwa na subira hata ukija kuyumba tena kimaisha.

Tafuta mwingine OVER!
 
Mkuu second chance ni muhimu katika mahusiano ila sikushauri maana huyo Dada anakurupuka hatumii sana kichwa chake usimkubali tena just move on
 
Mkuu tafadhari sana tena sana, ile kikwetu unasema chonde chonde ndugu yangu usijaribu kumrudia huyo mwanamke. Kwanza sifa yake kubwa sio mvumilivu, sio mwaminifu, hana heshima kwa mumewe na ni omba omba. Alishindwa kukusubiria kisa wewe ulikuwa hauna kitu bali unatafuta, akaolewa lakini hakumuheshimu mumewe akaanza kuomba pesa kwa mwanaume mwingine, kisha kaamua kuachana nae na sasa anataka aje kwako kwenye "future".
Nakuhakikishia huyo ukimuoa wewe atakutenda tena kama mwanzo na kama alivyomtenda huyo mume wake wa sasa.
Kama hauamini njoo PM nikutumie contact zangu ili itakapokutokea uje unipe mrejesho hata kama itapita miaka 7 au 8. Usije kuniona mtabiri kama Marehemu Sheikh Yahaya, hapo ukweli upo dhahiri huitaji mganga kuuona na kuchukua hatua.
 
Nimekusoma Mkuu somo zuri
 
What goes around ..comes around.
Utarudiana vipi na mke wa mtu?
Japo hatujui kinachoendelea moyoni mwako lakin unasema huna hisia nae, utaaezaje kuish na mtu ambae humpendi na huna hisia nae?
Kwanini hakukuvumilia mda kidogo tu wakat unaondoka?
Na huyo jamaa wa TRA walianza mahusiano hata wakat bado unasoma, nkimanisha ni MSALITI, alipagawa na neno TRA,
Mtafute mwambie kwa ustarabu kabisa arud kwa mumewe walee mtoto wao
Wewe na yeye mtasaidiana tu shida za hapa duniani kama marafiki au ndugu
 
Achana nae kama alikuwa n upendo kwnn alikusalit n kwenda kw njemba nyngine mpotezeee kabisa
 

Pamoja Mkuu nimekuelewaa sanaa
 
Pole sana kwa maswaibu yaliyokupata ila usije ukageuka nyuma ukawa jiwe. Mtu alishakuambia uvumilivu ulimshinda itakuaje sasa ajifanye kwamba ndio anakutakaaaaaa? Mimi kwa mtizamo wangu huyo anatafuta tuu mahali pa kupunguzia stress zake na wewe cha kufanya kwa sasa sali sana umwombe mungu akupe mtu wa kufanana na wewe kwa sababu huyo tayari hafananani na wewe. Saasawa kijana? EPUKA MIHEMKO.
 
Yes Mkuu kwa sasa nasali sanaa na pia tangu niachane naye sija wahi kutafuta mwingine NIPO nazidisha maombi tuuu
 
Msamehe, maana inaonyesha dhahiri unampenda bado.

yaan ametombwa miaka yote hiyo nipo shule na jkt,kazaa na mtoto alafu nimrudie???khaaaaaaaa,,mabinti wabichi wapo mama
 
mchezee tuu mpigee kurungee weee piga sana kurungee msaidiee afu theni mpige chini na ww inshort mchezee tuuuu akija geto mdhalilishe mdhalilushe weee mtumie sana piga sana mashina malaya uyo afu achana nae iyo ndo dawa yake ila tumia kinga man usiweke malengo nae kabisa yani ww uwe unamtafuta pale unapotaka kusafisha lungu tuuu bac piga mashine uyo....ila usije ukamuoa..!!!tafuta demu wako mkali wa marengo ambaye utamuoa uyo uwe unamchezea tuu bac ndo dawa yake iyo vye the way demu akikuacha akirudi tena kwako ww mchezee tuu bac...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…