Ushauri kwa huyu ex-wangu

Chapa lapa Mzee baba utavimbishwa kibusha cha mwendo kasiii
 
mwache afie huko huko kwan c alikubar kufa naye shida na raha huna chako hapo utalia bure maua hayo kila cku huchanua ohooo tafuta wako wakukufia sio huyo tena
 
mwache afie huko huko kwan c alikubar kufa naye shida na raha huna chako hapo utalia bure maua hayo kila cku huchanua ohooo tafuta wako wakukufia sio huyo tena
Ahaaaaa yaaap pamoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…