umerogwa wewe kuna mdudu kichwani ushauri gani unataka sasa kama kweli wewe ni mtu mzima basi kamchukue na mimba na mtoto awe wako sindio una maanisha we cha msingi. kausha kama humjui vile na akikuomba laki mtummie elfu umi akiomba kumi tuma 5, kwasababu yule mwana mke ana tamaa na maisha angetulia na huyo mtoto si ange kuwa wako na kuhusu kutolewa mahali si mnge kaa chini wazazi wake wange kuvummilia tu.we mpotezee kama humjui na ili ajue kwamba maisha ni foleni we piga pesa kwanza na uishi kiboss ili ajue somo vizuri kuwa yeye ni mjinga