BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
Nashukuru Mkuu kwa ushauri wakoPole mkuu,awa wadada wanafanyaga mambo wanajuta badae,uyo achana nae ni MFA maji,..ukiendelea nae utaumia,mkazie mwambie hutaki kabisa habari zake, kata mawasiliano fata maisha yako,
Mkuu fake p:sijakuelewa lengo la swali lakokwani we unaonaje?
Kimbia mbio asikuzoeeHisia kwake sina kabisa ila yeye kanigandaa
Nashukuru Mkuu nimekusoma sanaMke wa mtu sumu
Nashukuru Mkuu mana ananiambia habari zake kuwa kaachana na bwana yake na hapo ndipo nime staki mkuuKimbia mbio asikuzoee
Kaona vimemchachia anatafuta hurumaNashukuru Mkuu mana ananiambia habari zake kuwa kaachana na bwana yake na hapo ndipo nime staki mkuu
[emoji13] [emoji13]Kaona vimemchachia anatafuta huruma
NDIO Mkuu Ana mtoto wa kike mdogoAlijifungua mtoto?
Umenena vyema mkuuuUstaarabu na uvumilivu wa maisha tunayo sisi wanaume ndio maana tunaweza kuishi na mwanake asie na kazi ata maisha yote, sasa geuza hii story upande wa pili uone balaa lake
Hongera kwa kupata anko! So ndoa ilivunjwa rasmi kisheria au?NDIO Mkuu Ana mtoto wa kike mdogo