Kwa mtazamo wangu naona huyo dada anakutaka sema tu anashindwa kukwambia, na wewe siku nyingine sio mpaka utamkiwe unapendwa but uwe unaangalia hata matendo.
Huyo anayelipia bili naona huyo manzi hana mpango nae sema tu huenda anajishkiza ili mshikaji aendelee kuhudumia.Ushauri wangu we demu nenda nae hapo sehemu ya kula ila uwe ukilipa bili yako mwenyewe. Kula jasho la mwanaume mwenzio sio mpango kabisa.
rafiki huli jasho la mwenzio unaenda kula chakula, usijifanye upendi mteremko, nenda kale na akikwambili ule tena mle pia....vinginevyo utadharauliwa...
Kweli ukistaajabu ya Musa haujayaona ya PAKAYAwek . Yaani jamaa anajitahidi kufunga kwa ajili binti kasusa kula ilihali ikifika kipindi cha mfungo wenyewe kwa ajili ya kutubu dhambi zetu kufunga hawezi
ningekua nampenda ningemalizana naye kimya kimya mimi nimeomba ushauri jinsi ya kumuweka sawa bila kunichukia make sasa hivi hata salam hakuna tena tunapitana kama hatujuani.