Ushauri kwa huyu binti

rafiki huli jasho la mwenzio unaenda kula chakula, usijifanye upendi mteremko, nenda kale na akikwambili ule tena mle pia....vinginevyo utadharauliwa...
 
Kweli ukistaajabu ya Musa haujayaona ya PAKAYAwek . Yaani jamaa anajitahidi kufunga kwa ajili binti kasusa kula ilihali ikifika kipindi cha mfungo wenyewe kwa ajili ya kutubu dhambi zetu kufunga hawezi
 
Last edited by a moderator:
naona njaa haijawashika vizuri ikiwashika uwezi kuuliza cha kufanya ... unafikiri wahenga walikosea "adui yako mwombee njaa"

Teh teh teheee! ngoja ni cheke kwanza, hivi hizo kazi zinaendaje kama hamjala?
 
unahitaji ushauri wakati ushaanza kushinda na njaa? huoni kama umeshapata suluhisho
 
asubuhi wamekunywa supu na chapati mbili kila mmoja huko anakotokea alafu mchana wanajifanya wanashinda njaa... eti wamefiana?

chapati mbili amalize wapi ?
hawa ndio wale wa kula vipande vya mikate watu hata kula hawawezi uvivu hadi kula
 
unatishiwa Ukienda Mwenyewe Utaona, Mmmh, Huelewek Babu Wee, Usimshit Kwa Nin? Huyo Fisi Shaur Yako,
 
Kwanza kabisa nimependa mtazamo wako wa kuona si jambo zuri kula jasho la mwanaume mwenzio.
Labda ungemuuliza kwanini anataka aende na wewe? Na si mtu mwingine?

nimemuuliza akanisihi na kuniambia anaomba nimwelewe hana ata cha maana.
 
Soma Alama Za Nyakati Huyo Dada Anakupenda Kuliko Mpenzi Aliye Naye Cha Msingi We Mtongoze Hiyo Ndo Dawa Na Suluhisho Lako

angesema ningemwelewa ila kanuni za kazi majawapo ni kutochanganya mapenzi na kazi hata yeye analijua na ikigundulika wote tutakuwa fired.
 

Nikamwambia sawa lakini mimi sitakula tena na atafute msichana mwenzake wawe wanakula pamoja sababu ni aibu mwanamme kula jasho la mwenzie.



Sio aibu tu Mkuu.. Bali kumbuka kila mla vya wenzie na yeye lazima aliwe..
 
Kama kusoma hujui, je hata kuangalia picha nako huwezi? hakuna mwanaume mwingine anayelipa bali ni yeye mwenyewe. Kwa lugha fupi huyo binti amekupenda ila hana njia nyingine ya ku express her love to you other than giving you such offers. It is upon you to respond positively or not.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…