laptop ambazo processor zake zinaanziwa na N zimetengenezwa kushindana na chromebook
-nyingi bei zake ni chini ya laki 5
-zimtengenezwa kwa ajili ya kubrowse
-zinakaa sana na charge
wala usihangaike sababu nyingi hazibadilishiki ram, na hata ukiongeza hutapata boost kubwa sana sababu processor ndio ipo slow.ushauri wangu iuze hakuna utakaloweza kufanya, wapo watu wanataka laptop za design hio. mimi yangu kama hio inakaa na chaji masaa 14 na ina 32gb internal nimeinunua special kwa ajili ya ofisini inarun office na software ya ofisi hata wakate umeme siku nzima sipati tabu. wapo wanafunzi ambao wanatumia office tu wauzie.