Ushauri kwa Dr Bashiru Ally; Migogoro ndani ya CCM haikubaliki

Ushauri kwa Dr Bashiru Ally; Migogoro ndani ya CCM haikubaliki

mnyalilungulu

Senior Member
Joined
Sep 27, 2019
Posts
170
Reaction score
114
Kwa muda sasa kumekuwa na migogoro isiyo na tija ndani ya Chama Cha Mapinduzi inayopelekea chama hicho kukosa nafasi za wawakilishi katika chaguzi mbalimbali kutokana na kuwasimamisha wagombea wasio kubalika kwa Wananchi .mf katika jimbo la Tunduma ,IringaMjini,naMbeyamjini.

Hivi sasa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Kumekuwa na wimbi la kuchafuana baina ya viongozi wachama cha mapinduzi hii inaweza kusababisha kuwekwa kwa wagombea wasio na sifa hali inayoweza kusababisha kupoteza wawakilishi kutoka CCM katika nafasi ,mbalimbali za uongozi nchini.
Maonyo yatolewe kwa viongozi wanaotanguliza rushwa na kuharibu michakato ya kuwapata viongozi waadilifu ndani ya chama hicho.

Na NagmaHamis Ally
 
Pelekeni upuuzi wenu huko huko. Tangu lini CCM ikaachana na wizi, rushwa, udikteta, uporaji wa haki, nk?

CCM kwani inachagua viongozi au anasubiriwa mwenyekiti ateue anaowataka yeye?

Jikomboe dhidi ya fikra mfu za CCM ndugu. Huko mnapoteza muda tu. Hutafika popote huko CCM.
 
Back
Top Bottom