Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
Nani atamsikiliza!.Ndio maana nikamtaka asafiri akazungumze na Seif.
Nyinyi hamna jema mutakalomfanyia dkt.Slaa,mbali na kumuongezea machungu.
Mawazo ya wana JF wengi waliochangia hapa inaonesha wana mawazo ya kwenda kushitaki Ulaya juu ya kushindwa kwao.Kwani wao hawajasikia kwamba Tanzania kumefanyika uchaguzi na dkt.Slaa hajaridhika na matokeo?.Hata Seif pia aliamini kushtaki,akafanya hivyo mpaka akachoka.Humu ndani mshazoea kupinga tuu, hata kwa ushauri wa maana. nilivyomuelewa Ami tz hii hamna haki na kweli hamna haki, wenyewe wakishamuandaa hata ushinde vipi watabadilisha matokeo tuu, alimaanisha kuwa hata Slaa angepata kura za juu kiwango gani wangechakacjua tuu, amempa mfano seif Hamadi, kwa yale yaliyomkuta, tuna uhakika Hamadi alishinda kwenye chaguzi huko nyuma sina uhakika na mwaka huu lakini hwakumtangaza. tumeshaona majimbo kibao walivyochakachua waziwazi. sijuimnachotukana au mnapiga kelele nini? au nyie mkisikia Slaa ni kubisha tuu.
Mawazo ya wana JF wengi waliochangia hapa inaonesha wana mawazo ya kwenda kushitaki Ulaya juu ya kushindwa kwao.Kwani wao hawajasikia kwamba Tanzania kumefanyika uchaguzi na dkt.Slaa hajaridhika na matokeo?.Hata Seif pia aliamini kushtaki,akafanya hivyo mpaka akachoka.
Wamesikia kuhusu uchaguzi wa Myamar na kutoa tamko.Obama mbona hajasema kuhusu uchaguzi wa Tanzania lakini tayari katoa tamko kuhusu Myamar.
Kumbe hali ni shwari!,basi ina maana uchaguzi ulikwenda vyema.Sasa ya nini kulalamika.Na huko Myamar nako mbona Marekani imeshatoa tamko hata matokeo hayajatoka.Mbona balaa la kenya marekani aliingilia kati?? Wewe usijifanye unajua sana mambo haya......Marekani anajali maslahi yake pale anapoona yata hatarishwa, sasa Tanzania kuna fujo gani mpaka apige kelele wakati anaona hali ya nchi bado ni shwari??
Na ushauri huu ni crapBinafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
Najua machungu uliyonayo ni makubwa sana.Leo sina nia mbaya na wewe na nataraji mashabiki wako hawatonielewa vibaya.Ndio maana nakuletea salamu kutoka ndani ya moyo wangu.
Sababu inayonifanya nifikishe salamu zangu za dhati kwako ni kwa vile mimi ni mpenzi wa haki na nimegundua kuwa katika huu uchaguzi na nyengine kote hakuna haki.Napendelea mshindi lazima atokane na ukweli wa kura na matokeo ya kampeni pekee na si vyenginevyo.
Kwa mwaka huu yawezekana kura ulizopata sio aslimia kama ilivyotangazwa kutokana na sababu zozote zile.Hata hivyo uwe na uhakika kwamba hata haki kikamilifu ingetendeka basi uwezekano wa wewe kwamba ungekuwa mshindi ni mdogo.
Kubwa ambalo napenda ulielewe ni kuwa hizi chaguzi zina mikono kutoka mbali.Mshindi huamuliwa miongoni mwa wagombea kulingana na maslahi ya hiyo mikono.Yawezekana kutokana na uchanga wako katika siasa hukuyajua haya.
Kwa juhudi yako pekee na wafuasi wako haiwezekani kubadili hii hali.Hivyo baada ya huu uchaguzi unachokisema kiwe ni kwa kupima sana.
Nakushauri uwe mvumilivu na jifunze mengi kutoka kwa mgombea mwenzako;Seif Shariff Hamad.Ikiwezekana safiri ukutane naye.
angalia kwenye red na green:wewe ni kibaraka.uwezo wa slaa huwezi kulinganisha na mtu yeyote kati ya wagombea wote wa mwaka huu,tuna marais 2 kwa sasa,slaa kipenzi cha wananchi na wapenda mabadiliko na kikwete rais wa kuchakachuliwa