Taratiibu baba. Ushauri si ugomvi. Diamond kafika hapo alipo kwa kufanyia kazi ushauri wa watu mbalimbali. Ndio maana ana management inayomwongoza na kumshauri. Sina wasiwasi na ushauri huu ataufanyia kazi. Watu kama wewe hawawezi kuwa na msaada kwake kwa kuwa ni shabiki mihemuko.Kila siku mnaongea yale yale na chuki zenu,lkn wenzenu walio wengi wanao mwitaji wanajua wanapata nini kutoka kwa Diamond Platnumz,miaka miwili mfululizo show zaidi ya 180 na kila siku anaongeza idadi ya nchi sasa hivu anahamia nchi zinazoongea kifaransa (Gunea,Siera leone,Cameroon,Senegal hii ni effect ya INAMA).
Cha msingi ujiulize kwa nini wale unaowajua ww wanasauti nzuri lakini hawapati show,ungewasaidia kuliko kumponda msanii ambaye ana show mfululizo.USICHOKIPENDA WW USIKITIE HILA KUNA WENGINE WANAKILILIA ndio maana jamaa and utitiri wa show.
Umelazimishwa kucomment?Imba wewe basi
Unadhani kuimba ni sawa na kuwa kwenye keyboard?Umelazimishwa kucomment?
Mimi nimesoma comments za Bujumbura na Kigali tu, kwa Marekani sijui mkuu.
Taratibu ipi yaani ni sawa na kumshauri mtu anayeshika namba moja kila siku afanye vizuri,huku mkiwaacha wa namba za chini.Taratiibu baba. Ushauri si ugomvi. Diamond kafika hapo alipo kwa kufanyia kazi ushauri wa watu mbalimbali. Ndio maana ana management inayomwongoza na kumshauri. Sina wasiwasi na ushauri huu ataufanyia kazi. Watu kama wewe hawawezi kuwa na msaada kwake kwa kuwa ni shabiki mihemuko.
Mrundi huyo.atajua wapi kuimba kazi yao kujisaidia chini ya kitanda tuAaah wabongo bhana embu imba ww bas tusikie iyo saut yako
Kwa nini wasiwe wanamwita q-chilla au chid benzTaratibu ipi yaani ni sawa na kumshauri mtu anayeshika namba moja kila siku afanye vizuri,huku mkiwaacha wa namba za chini.
Kwa hiyo hao wanaomwitaji kila siku kwenye show zao hawajui mziki,ila ww ndiye unayejua?
Hapa sasa umeongea kiutu uzima na umeeleweka.Si kama ulivyocomment hapo juu.Unadhani kuimba ni sawa na kuwa kwenye keyboard?
Halafu inategemea mkataba unasemaje utumie playback au uimbe live
Huyo Diamond hajapumzika toka january,mara yupo sumbawanga,kesho yupo new york sauti.itatoka wapi?
Wewe unatakiwa uwashauri ma promoter watafute siku ambazo.msanii hana uchovu,vinginevyo wakilazimisha live hayo ndio matokeo,au hujawahi kusikia songombingo ukumbini mwanamuziki kaingia saa 8 kapiga nyimbo mbili kashuka?sababu ya uchovu
Una elewa lakin ulicho kiandika apo juu we mzee??Hawa ndio watoto wa facebook, badoo na instagram.
Umejuaje? Mimi ni mzee kweli. Kumbuka uzee dawa lakini.Una elewa lakin ulicho kiandika apo juu we mzee??
Mlio karibu na Diamond mshaurini aache kuimba live wakati wa show. Hawezi kabisa, sauti yake inakuwa nje ya tone kabisa ya music. Nimefuatilia comments za warundi kufuatia show yake Bujumbura. Wamemsifia kwa kujua kudansi huku wakiponda uimbaji. Matokeo yake, show zinazorota kwa kuwa mashabiki hawapati vile vionjo vya muziki wanavyovitarajia.
Tumeshachoka bana kila mara ushauri kwa Diamond platnumz,ushauri Diamond platnumz,Hivi hakuna wasanii wengine wa kuwapa huo ushauri mpaka yeye tu kila mara,Kama nyie ni mabingwa wa kutoa ushauri sio mzishauri familia huko, madada zenu wanashinda wanagongwa tu na kuzalia nyumbani lakini ushauri hamuwapi unakuja kumshauri mtu ambaye hakujui itakusaidia nini wewe.
Weka hapa clip ya hiyo show iliyo zorota! Kwa hiyo suluhu ni kuacha kuimba live?msubiri Ruttashobolwa aje na mipovu kama ametafuna majani ya mti wa mpapai.
Labda presentation haikuwa clear. Nilimaanisha ajinoe zaidi kwenye eneo hilo au inapobidi apige background music hasa kwa zile nyimbo ambazo hazina midundo ya vibe.Mkuu tunakubali pengine viwango vyake si kama vya Rubi lakini hili la show hadi kuzorota ni uongo ulio uchi.....
Weka hapa mfano wa show tuone na tuchambue kwa masikio yetu au weka hapa clip ya show ya burundi iliyo zorota!
Nilitegemea umwambie kuwa aongeze bidii sio kumshauri aache kabisa....hebu niambie akiacha ataweza lini kwenye viwango unavyo taka wewe?
Badala ushauri afanye mazoezi zaidi .Kuwa serious basi mkuu. Binafsi nampenda jamaa, ila ningependa hilo pungufu alifanyie kazi.