Ushauri kwa CUF !

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Ni vyema kwa mwenyekiti wa CUF akachukua hatua ya kumuandikia msajili wa vyama juu ya uchokozi wa wazi wazi unaofanywa na chadema dhidi yao na ambao umetangazwa hadharani tena na viongozi wa chadema wakiwemo Meya,Mbunge na Mnadhimu wa Chadema.

CUF haina sababu ya kulipiza uchokozi huo kwa maneno au vurugu bali kwa kuchukua hatua stahiki zinazotambuliwa na sheria.

N.B
Mods mada hii ni ushauri wangu kwa CUF ambao naamini wataufuata ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima na wala haina muingiliano na mada nyingine.
 
Cuf ilishajifia sasa hivi wamekua kama mizimu tu..
Hahahahahaaa successful. Plan nilijua Sana kipind kile chadema ilipompoteza zito ikapoteza uelekeo ikaamua kuungana na Cuf baada ya bunge la katiba na baada ya hapo chadema ikawa inanguvu ya Cuf na cdm lakin baadae walitaka kuongeza nguvu kutoka ccm wakamuingeza lowasa kingunge na sumaye na wengneo weng soo sad walipoteza hapa mbaya zaid walimuuzia nafas ya kugombea urais ndugu low ass a hii waidhihirisha unafiki wao na tamaa ya kuu na kukosa msimamo soo sad
Mkuu lipumba alishindw kuyarudia matapish yake Kwa kumnadi lowasa na pia hakutaka kukivunja nguvu chama chake akaamua kukaa pemben na kuwaach vipofu wajiongoze Kwa bahat mbaya walikosa nafas ya urais walioitaka
Lakin baada ya chaguz maalim seif akaanza kuwa kibaraka Wa moja Kwa moja Wa chadema Kama mbatia na kukosa kabisa uelekeo kitu kilichosikitisha zaid akajikuta anapoteza nguvu nying kusimamia ikawa wakatvwenzake wakijenga chama baada ya uchaguz lipumba aliona kupotea Kwa cuf yenye missing yabkutetea haki ya navyenye msimamo na kuamua kurud katika nafas take aliona n aibu Kwa chama kikubwa Kama Cuf kuwa vibaraka wa cdm wakat na wao wanapaswa kuwa na malengo hakutaka kuiona Cuf ikiangamia na kumezwa na cdm na baada ya kurud alijitahid Sana kuirudisha Cuf katika misingi imara lakin bado Wana cuf hawajaelewa ila ni swala LA muda Cuf watajua lengo LA chadema ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimaadili Chadema imepotoka
 
Aliyeanza husahau, hajui kwamba anajibiwa tu kwa aliyoyasema, alisema Chadema walimpokea mwizi hakujibiwa, Mbowe amaiuza Chadema hakujibiwa, sasa ni bora Lipumba akome kuitajataja Chadema ili CUF yake ya Buguruni isitajwe.
 
Anajibiwa kwa kuwa alisema ukweli!
 
Back
Top Bottom