- Thread starter
- #21
Wabunge wengi wa CHADEMA wanajiita wabunge wa Taifa as if Taifa ndio liliwachagua kuwa wabunge ila utendaji wao kwenye majimbo yao ni zero
Wanachama watawachagua ila wale wasiokuwa na vyama ambao kimsingi ndio weng watatoa hukumu.