pole wana cdm kwa uchaguz ambao unaendelea ndani ya chama.Natambua mabadiliko tuyatakayo tutayapata pamoja na hla nyingi za Ccm. Huu ni ushauri wangu ambao ningependa muuchukue yale mema na yale ambayo sio bhasi muuache.
Ningependa kutoa yale nionayo kuhusu jimbo hil ambalo ni kama lulu kwa Ccm na Cdm.kwani ni jimbo ambalo 90% ni Cdm na CCM ni kama hawapo.
-Labda nitangue kwa kusema wananchi wetu hawachagui tu kwa mapenzi ila utendaji pmj .Mfanö Lowasa aliitwa fisadi lakin Bd alichaguliwa kwa kishindo 2010...
-Lema amekuwa kweli mpambanaji wa ukwel pmj na Milya na Mawazo katika maswala ya organizesheni ya vijana.Nafkiri kamati ya ushawish na oganizesheni wangepewa hawa watu.Halafu mgombea ubunge awe Nanyaro.Lengo ni kuwa na mtendaji mzuri kuliko lema ambaye amejikita kwenye nafasi ya kitaifa kuliko ya jimbo.Nafkir mtachambua yale mema,na yale ambyo siyo tuyaache. Wasalaam