Ushauri kwa CCM ili kuendelea vema 2015


MTWA

MTWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2009
Messages
1,051
Likes
71
Points
145
MTWA

MTWA

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2009
1,051 71 145
Badala ya CCm kuwadhibiti na kuwaua watu wao maarufu kisisasa nadhani ilikuwa bora kujijengea sifa kwa wannchi kwa kuwapunguzia ugumu wa maisha, kupunguza ufisadi na kusimamia fedha zinazopelekwa kwa wananchi zisitafunwe bure.

Nadhani badala ya kuanza kuwatoa watendaji waliwahi kuaminiwa na wananchi ni bora wangewashauri mafisadi na kuwapunguzia ulaji kidogo ili kashfa zipungue.

Pia wangejaribu kuwashauri wote wanaotoa siri zao nje kukaa na wapambanaji vizuri ili wachangie positively.
Ila huu uhasama wa kuwafanyia fitina watu ni wazi lazima kutawacost vibaya. Kumbuka bado fitina za kugombe urais wa 2015 bado. sasa huo uhasama si ndo utawamaliza?
Kwa mtazamo wangu Japo wanajitahidi kubomoa upinzani, na kuwaua kisiasa wapambanaji wa ufisadi lakini kazi kwao itaweza kuwa bado ngumu.
 

Forum statistics

Threads 1,236,145
Members 475,007
Posts 29,248,155