Ushauri kwa ACT Wazalendo

Zitto Kabwe huyo aliwauza.
 

Mwenyekiti mpya ambaye ni makamu wa Raisi Zanzibar ni janga kwasababu moja tu. Anapenda sana uboss na hataweza kuondoka kwenye cheo ambacho anapewa ulinzi, magari, mshahara, na yeye na wake zake wote wanapata huduma. Kupenda penda Uchifu hivi huwezi kuendana na uharakati ambao ACT wanauhitaji. Kibaya zaidi baada ya waanchi kuwachagua kwa miaka mingi wataanza kukata tamaa kama chama kinaendelea kukubali nafasi 4 za uwaziri wakati wameshinda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…