h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,370 Oct 4, 2015 #1 Habari wakubwa wa tech, Kwa wazoefu au waliowahi kutumia projector kuonyeshea mipira na shughuli zingine, napenda kufahamu ustahimili wa vifaa hivi katika shughuli tajwa hapo juu, katika uharibikaji, na mengineyo naomba tujuzane.
Habari wakubwa wa tech, Kwa wazoefu au waliowahi kutumia projector kuonyeshea mipira na shughuli zingine, napenda kufahamu ustahimili wa vifaa hivi katika shughuli tajwa hapo juu, katika uharibikaji, na mengineyo naomba tujuzane.